Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Huu uzi ufutwe kwani huo mshahara hamjapataga tu tangu mwaka jana? Mnatudhalilisha wenzenu.
 
Ndio tarehe zake za kufufuliwa, ikifika jumatano tunaukimbia mazima hadi mwezi ujao
Mtapata tabu sana, Kwanini msiwe mnalipwq kwanza ndo mnafanya kazi yani wao ndo wawadai kazi siyo nyie muwadai mishahara.
 
Mlipwe mapema ili msheherekee kutumbuliwa kwa Nape na Kipara ngoto
 
Mtapata tabu sana, Kwanini msiwe mnalipwq kwanza ndo mnafanya kazi yani wao ndo wawadai kazi siyo nyie muwadai mishahara.
Wala hakuna tabu mkuu, tukisoma comment tunafurahi na siku zinasonga. Ila pia inakupa picha ya hali halisi ya watumishi walio wengi.
 
Walimu wako njema Sema jamii imeshakalili ata kama unapata m2 kama una nidhamu na pesa utazidiwa na mtu anayepokea 150 kikubwa ni kuakikisha unazingatia vipaumbele vyako katika life
 
Daslam unaijua daslam wewe, wa mikoani sawa.
 
Back
Top Bottom