Std 7Upumbavu wako ndio unakufanya uwe mtumwa wa mishahara
Wekeza kula mazao ya mshahara sio kula mshahara
Hili nalo la kulaumu?Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Dalili ya kwanza ya serikali iliyopo madarakani, kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake hamjui madhara yake Wala maana yake. Mtaelewa baadaye.Hili nalo la kulaumu?
Kwahiyo leo watumishi mnamkumbuka Magu jinsi alivyokuwa mwema kwenu?Mwisho wa mwaka haiwagi hivi. Namtaka mama afanikiwe, na namtahadharisha mapema kwamba vitu kama hivi vinauweka userious wake kwenye kuongoza nchi kwenye mizani.
Huyo atakuwa anasema mwisho wa mwezi july ambapo kuna marekebisho ya mishahara mipya...Mwisho wa mwaka haiwagi hivi. Namtaka mama afanikiwe, na namtahadharisha mapema kwamba vitu kama hivi vinauweka userious wake kwenye kuongoza nchi kwenye mizani.
Unanikumbusha Government shutdown ya TrumpKILA Mwisho wa mwaka huwa hivi kuwa na subira tu
Kati ya vitu JPM alifanikiwa sana ni kuweka predictability na consistency katika utawala wake, na kwake suala la mishahara ya wafanyakazi hakucheza nalo. Sikutegemea kabisa kama hili la mshahara lingeanza kuchezewa mapema hivi.Dalili ya kwanza ya serikali iliyopo madarakani, kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake hamjui madhara yake Wala maana yake. Mtaelewa baadaye.
24 unalalamika? kuna taasisi qamezoea kupitishwa hadi tarehe 2.Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.