Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

Kuna mwanangu basi kanialika tupate moja baridi, nmesoma uzi wako nguvu zimeniisha kabisa nikajua kitu kimesoma nahisi huko itakuwa stor tu au kupigwa mzinga.
 
Dalili ya kwanza ya serikali iliyopo madarakani, kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake hamjui madhara yake Wala maana yake. Mtaelewa baadaye.

Ni bora wasilipwe ila sio kutawaliwa na mtu dhalimu.
 
Upumbavu wako ndio unakufanya uwe mtumwa wa mishahara

Wekeza kula mazao ya mshahara sio kula mshahara

NB "Kuna marekebisho makubwa ya madaraja na kulipa baadhi ya malimbikizo hivyo mvumilie mpaka jumatatu"
Mkuu, marekebisho ya mshahara kutokana na kupanda madaraja hayapo kwenye mshahara wa Juni. Huo ni mshahara wa mwaka mpya wa fedha, yaani Julai.
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Shida ipo !! Awalii mlilalamikia MADARAJA kutopandishwa sasa mmerekebishiwa madaraja mnalilia salary
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
... huo mpicha uliouweka hapo una uhusiano gani na zama hizi za nuru na upendo?
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Wafanyakazi wa umma punguzeni kulialia mmefanya kama hii nchi inajukumu la kuwapa mahitaji yenu tu achani ujinga wenu bana mmezidi, hii nchi inawatu almost 60M +,sasa vilio na malalamiko ni vyenu tu mara kupandishwa madaraja mara lile mnachosha kwa kweli ifike mda mtambue mnapitia magumu kama wengine your not exceptional anyhow kwanza kufanya kazi serikalini ni kama kujitoa kuweni wazalendo basi kidogo. Gaddamit!
 
Watu ni walalamishi Sana,kuzidi siku moja tu tayari watu mshaanza kumtoa kasoro rais,Mimi mwenyewe ninaishi kwa kutegemea salary lakini simlaumu rais ,ni kawaida tu,tujifunze kuwa na vipato mbadala hii itatuondolea Hali za stress.mimi hapa hata Kama mshahara utachelewa siku kumi na tano mbele bado naweza ishi bila shida kwa sababu licha ya kuwa mtumishi bado Nina kazi nje ya utumishi ambayo nikiifanya siwezi kosa laki tatu kwa mwezi hapa lazima maisha yasonge.

Watumishi wenzangu tujitume tuache kukishi kwa kutegemea mshahara tutajikuta na tutaishia kuwa watu wa lawama tu.
Haya mambo ya kuwaambia watumishi wajiongeze kwenye mambo mengine ndo baadaye malalamiko yanazidi kwamba watumishi hawapatikani kwenye maeneo yao ya kazi, hivi watumishi wakifanya kila kazi huo muda watatoa wapi na wengine wasio watumishi watapata wapi kazi za kufanya? thinking ya namna hii ni ya hovyo sana....
 
Watu ni walalamishi Sana,kuzidi siku moja tu tayari watu mshaanza kumtoa kasoro rais,Mimi mwenyewe ninaishi kwa kutegemea salary lakini simlaumu rais ,ni kawaida tu,tujifunze kuwa na vipato mbadala hii itatuondolea Hali za stress.mimi hapa hata Kama mshahara utachelewa siku kumi na tano mbele bado naweza ishi bila shida kwa sababu licha ya kuwa mtumishi bado Nina kazi nje ya utumishi ambayo nikiifanya siwezi kosa laki tatu kwa mwezi hapa lazima maisha yasonge.

Watumishi wenzangu tujitume tuache kukishi kwa kutegemea mshahara tutajikuta na tutaishia kuwa watu wa lawama tu.
Mkuu kumbe na mikwara yote ile umeajiriwa! Nilidhani umejiajiri kama mimi.
 
Mwisho wa mwaka haiwagi hivi. Namtaka mama afanikiwe, na namtahadharisha mapema kwamba vitu kama hivi vinauweka userious wake kwenye kuongoza nchi kwenye mizani.
Kwendraa huko na legasi yako. Watu wamekaa miaka zaidi ya sita bila promotion wala annual increament hujawahi kulalamika, leo tarehe 24 tuu unalialia!? Ooooh mzani sijui mizani! Sisi wafanyakazi wa Serikali tuna imani kubwa na Rais SSS, nyie wafanyakazi wa mwendazake endeleeni na chuki zenu against Mama Samia.
Cc peno hasegawa
 
Kati ya vitu JPM alifanikiwa sana ni kuweka predictability na consistency katika utawala wake, na kwake suala la mishahara ya wafanyakazi hakucheza nalo. Sikutegemea kabisa kama hili la mshahara lingeanza kuchezewa mapema hivi.
Kila mwisho wa mwaka huwa inachelewa jpm ana husika vipi sasa
 
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.

Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
R.I.P Magufuli, Kuna sehemu sikukubaliana na baadhi ya mambo serikalini lakini kwa suala la malipo kwa wakati, you will always be my best president ever🙏🙏
 
Ingawa hali ni mbaya lakini kimahesabu tarehe bado. Kulipwa tarehe 22,23,24,25 ni utaratibu tu uliwekwa kulipwa mapema ila kiuhalisia mwisho wa mwezi ni 30.
Point ya kwakuwa mwezi uliopita ulilipwa 23 eti mwezi huu hiyo 23 imepita basi mama anayumba ni ujinga. Ulilipwa mapema kabla ya tarehe husika (30).
Labda niwaulize kwa mfano ulilipwa 23 halafu tarehe 30 ukawa tarminated kazi vipi utadai siku 7 za kazi ulizofanya mpaka terehe 30?
 
Back
Top Bottom