Ndo maana performance kwenye sector za serikali zimeshuka Sana , mpaka msukuma anawazalau wasomi maana ubunifu kwenye sector za umma hamna ,we una miradi yako uko serikalini upo kuchuma pesa tu ,mda mwingi akili yako inawaza biashara zako
Njoo sector binafsi utalipwa vizuri lakini lazima ufanye KAZI ipasavyo,sio blabla, mda wote lazima utimize wajibu wako uwe safarin dereva atafanya kazi yake na wewe fanya kazi yako pale inapobidi,
Sasa watumishi wa umma mnawalazimisha fanya biashara ufanisi wa kazi kwenye ofisi ya umma unatoka wapi, kidogo tu ,anaambiwa bodabobda yako imekamatwa, imepata ajali mfano tu ,inakuaje KWA mda huo