Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.

Kautumia mshahara vibaya, ameishiwa. Acha kulipwa monthly, omba daily pay, kila siku utakuwa na hela japo utamudu kupanga budget kiduchu.serikal haijawah kushindwa kulipa mishahara yake.
24 ni mapema sana...
acha kulalamika vitu vya kitoto.
Ukiona chakula kinachelewa ujue kimeandaliwa vizuri si lelemama.Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Nani amkumbuke aliyemteua sabaya na makonda?Nabii alishasema 'mtanikumbuka kwa mema, siyo kwa mabaya[emoji12]! Mkiambiwa Mh. Dr. JPM ( may his precious soul rest in eternal peace and power amen [emoji120][emoji24]) alikuwa wa aina yake mzaleta ushetani wenu...na bado mtamkumbuka sana tu mtakapoanza maandamano na migomo ya wanafunzi na wafanyakazi kama wataendelea kumpuuza huyo nabii kwa kutofuata nyayo zake[emoji848]!
Huyo mtumishi anayehoji eti kuchelewa kwa mshahara kama hajui hata hili uliloandika hapo juu,huyo hafai kuwa mtumishi,maana ni kilaza wa kutupwa kama babake mwendakuzimu.Sasa kama aliweka mishahara fixed, hakuna cha nyongeza wala madaraja kwa miaka 6 ni wazi kusingekuwa na marekebisho yoyote jambo ambalo lisingechelewesha mishahara.....
Mkuu,kujiajiri ni karama/talanta/kipawa. MaCCM ni kama kinda la ndege.Mkuu kumbe na mikwara yote ile umeajiriwa! Nilidhani umejiajiri kama mimi.
Tani 27 za mbaazi nimeuza kwa nusu bei.Hata mfanyabiashara huwa anacheleweshwa kupata hela pale ambapo wateja wanakosekana. Mara kumi hata mtumishi wa umma huwa inatabirika, biashara huwa hazitabiriki. Au mmesahau wale waliobaki na mbaazi majumbani mwao juzi tu hapa?
Taasisi ipI? Ikhali zote hulipwa same time. Pumbavu kabisa wewe. Yaani kuna watu hawajui chochote kazi kutetea upumbavu24 unalalamika? kuna taasisi qamezoea kupitishwa hadi tarehe 2.
lakin kama pia unaona ni ishu. tafuta biashara kuliko kukaa unasubiria mshahara wa serikal.. halad ulichelewa unalalamika.
boss hanuniwi
Umenena vema,na watumishi wafunge mashule,mahospital na tra waache kukusanya kodi twende tukajenge reli ya kisasaBadala ya kuja na wazo kwamba mishahara isitishwe ndani ya miaka mitatu, ilifedha hizo zikaelekezwe kwenye miradi itakayoweza kujenga ajila za watu million kumi, we we unatuletea mishahara kuchelewa mapema hiii.