Wengine tumepanda mkuu, kazi ya kukagua ,kuingiza taarifa na kuandaa barua nilihusika vizuri sana tena weekend nashukuru sijakosekana katika waliopanda . Wale wanaoponda watumishi kutegemea salary wao mambo safi sana acha sisi tuendelee kufaidi matunda kupitia salaryNatarajia kilio nchi nzima mishahara kutobadilika mwezi huu, yangu macho na masikio kuhusu madaraja mapya. Kwn mpk sasa waliopata wanasema kitu ni kile kile.
Siku 100 za uongozi wake mshahara umechewa kwa siku 4. Kwa mahesabu ya haraka haraka siku zilizosalia katika uongozi wake ni zaidi ya siku 1200. Hivyo kwa watu wangu wa hesabu watapata jibu kwamba hadi anahitimisha uongozi wake watumishi watakuwa wamechelewa kuchukua mshahara kwa siku ngapi.Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
TAREHE ZA MSHAHARA KUWA 24 NI UPUUZI NA ILLUSIONS TU,MSHAHARA UNATAKIWA ULIPWE TAREHE 28/29 SEREKALINI,NA TAREHE 30 KWA SEKTA BINAFSI.(mshahara utalipwa kila baada ya ya siku 28) hili lipo kisheria yule aliyekuwa anajifinya kulipa alikuwa amekufanyeni wajinga wa kutupa.Bado mapema mkuu suburi hadi tarehe 26 ndio uongee
Hapana. Mwanzo wa mwaka (July) ndiyo mishahara huchelewa. Ambavyo kwa Jiwe hii pia haikujitokeza.KILA Mwisho wa mwaka huwa hivi kuwa na subira tu
Aisee!TAREHE ZA MSHAHARA KUWA 24 NI UPUUZI NA ILLUSIONS TU,MSHAHARA UNATAKIWA ULIPWE TAREHE 28/29 SEREKALINI,NA TAREHE 30 KWA SEKTA BINAFSI.(mshahara utalipwa kila baada ya ya siku 28) hili lipo kisheria yule aliyekuwa anajifinya kulipa alikuwa amekufanyeni wajinga wa kutupa.
Si kweli, huna unalolijua zaidi ya kukaririshwa mambo ya aibu na ccmTAREHE ZA MSHAHARA KUWA 24 NI UPUUZI NA ILLUSIONS TU,MSHAHARA UNATAKIWA ULIPWE TAREHE 28/29 SEREKALINI,NA TAREHE 30 KWA SEKTA BINAFSI.(mshahara utalipwa kila baada ya ya siku 28) hili lipo kisheria yule aliyekuwa anajifinya kulipa alikuwa amekufanyeni wajinga wa kutupa.
Mimi numekuta malimbikizo yanguMzigo umetoka na mishahara ya vyeo vipya pia wakuu!!!!msubiri punguzo la kodi na increment kama ipo hapo wa saba!!
Kichaa katika ubora wake ,akili yako ni ndigo kuliko mbwa wanguLeo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili awamu ya pili au la.
Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
Hatuwezi mpima kwa mwezi mmojaHapana. Mwanzo wa mwaka (July) ndiyo mishahara huchelewa. Ambavyo kwa Jiwe hii pia haikujitokeza.
Yote 9 la kumi una takounawaza mshahara tu, fanya kazi kwa ufanisi Kwanza
Si kweli, huna unalolijua zaidi ya kukaririshwa mambo ya aibu na ccm
OK,basi tugeuze mambo mwanzo wa mwezi uwe ni tarehe 15,ili MSHAHARA ulipwe tarehe 13/14 ya mwezi unaofuata!@#$%&, Yule jamaa aliwahadaa sana wasiokuwa wamemwelewa,na kwa bahati aliwapata wajinga kwa kiasi kikubwa kweli.Si kweli, huna unalolijua zaidi ya kukaririshwa mambo ya aibu na ccm
Nimewahi kuajiriwa ndio maana nalifahamu hili na sheria zake nazifahamu,kulipa mshahara tarehe 24 si kwamba wanawahi kulipwa hapana ni mwenye akili anakuwa amewachota Akili na kuugeuza trh 24 kuwa ndio tarehe ya mwanzo wa mwezi.Aisee!
Ninyi ndio wale watumishi chapombe, hapo salary advance ushachukua na ulipo arosto ya pombe imepanda na huna altenative.Acha utoto wewe! JPM aliweka standard ya namna ya kuongoza serikali kwa viwango. Uzembe wa aina yoyote hautavumiliwa.
asubiri wakati hata alosema watapandishwa madaraja mpaka sasa hakuna kitu.Bado mapema mkuu suburi hadi tarehe 26 ndio uongee
sasa wote watafanya biashara na nani atakuwa mnunuzi.ni nchi gani raia wake wote wanafanya biashara au hujui maana ya division of labour maana yake ni nini.24 unalalamika? kuna taasisi qamezoea kupitishwa hadi tarehe 2.
lakin kama pia unaona ni ishu. tafuta biashara kuliko kukaa unasubiria mshahara wa serikal.. halad ulichelewa unalalamika.
boss hanuniwi