Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya uchunguzi kisha fungua uzi tuchangie.
CCM moja ya vitu inavyopinga ni huu uwazi
Hizo ni fikra zako wapi nimekuambia kuwa natetea mishahara wanayolipana viongozi sasa hivi.
Mimi sina uhusiano wowote na Rais Kikwete, unachofanya ni makosa Name Calling.
Huu ni mjadala huru.
Tukijua basi pia tutafahamu Maria nyerere anachukua kiasi gani kwa mwezi (80% mshahara wa rais) kutoka katika pesa za walipa kodi wasio weza kupata milo miwili tu kwa siku.
alijua fika kuwa, hata ikikuuma wala kukusikitisha , usingefanya lolote.nyerere alikuwa muwazi na kutangaza mshahara wake hadharani kwa wale walipa kodi waliokuwa ndio wanaomlipa mshahara wake. Unadhani kwanini mwinyi, mkapa na kikwete waliamua kufanya mishahara yao siri ukilinganisha na mwalimu ambaye aliutangaza mshahara wake hadharani!?
hilo jibu lipo ktk kitabu cha animal farm:Mkuu@nguruvi3 umechambua vyema sana,sijui kama hawa wanasiasa wetu pale jangwani kama wameligusia hili suala la mishahara ya wabunge na mawaziri kuwa siri na hata kwa rais pia,
Na kwanini wanasiasa walipwe mishahara mikubwa kuliko wataalamu kama walimu,madaktari na wengineo hii sio fair kabisa
wachina waliambiwa kuwa raisi wao mao Tse gong kafariki baada ya siri kufichwa kwa mwaka mzima!!!USIRI ndiyo sera ya maCCM
kwa wtu wengine jina la nyerere kwao ni kama vile jina la mungu. kama ilivyokuwa kwa mungu hachambuliwi makosa yake, vile vile iwe kwa nyerere!!!!!!!!!!!!! nawapa pole sana !Mkuu Mchambuzi.
Nadhani hizo zitakuwa ni fikra zako kusema kuwa namchamfua Mwalimu Nyerere, sijui ni wapi nilipo mchafua nilichokiweka ni maneno yake mwenyewe.
Huyu tuliyenaye sina hakika kama anaweza kusema analipwa ngapi kwa mwezi na kamaanaweza kufikiria kupunguza kiwango (Kama ni kikubwa)
Hapana na si kweli.tukiacha , uyanga na usimba, nyerere angefanya kitu kimoja ktk katiba ya nchi, kwa niaba ya wananchi awatwalae hapo angeoneka nabii. angeweka kifungu kisemacho Raisi ashitakiwe kwa makosa au uzembe atakaoobainika kuufanya , wakati yeye yupo madarakani.
matokeo yake kifungu kama hicho cha kuwashitaki watwala wa tanzania kila wafanyapo makosa au kuabuse power, hakiwezekani kuwekwa tena katika katiba.
Na kwa watu wengine Nyerere ni 'shetani' ytaundwa makosa akiwa kaburini, atasomewa mashataka na huku akiwa huko huko karibuni.kwa wtu wengine jina la nyerere kwao ni kama vile jina la mungu. kama ilivyokuwa kwa mungu hachambuliwi makosa yake, vile vile iwe kwa nyerere!!!!!!!!!!!!! nawapa pole sana !