Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho
Hakuna haja ya kuumiza kichwa subiria mwisho wa mwezi wa saba utajua ukweli kwny muamala wako.Lakini jiandae kisaikolojia
Acha utani mkuu kama kweli, hivi kweli ni kweli? lete evidences tuanze kujirambaKWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho
naona hiz ni tetesi tu hazina uthibitishoAcha utani mkuu kama kweli, hivi kweli ni kweli? lete evidences tuanze kujiramba
Nadhani kuna jambo unakosea alafu hujui ka hujui, kwanza unagusa chuo cha saut as if ndo wanaotoka wenye bachelor pekee, jingine ni kwamba kwa taarifa yako mwl mwenye bachelor basic yake ni 716000 kwa sasa. So unaposema cjui mhasibu kutoka saut apitwe na mwl wa mcngi itakua ni dharau kidogo nakushangaa.Taabu inakuja pale anapompita mwenye degree ya uhasibu toka SAUT. Huyu mhasibu ataona hathaminiwi hivyo atasepa na fedha yetu.
Kila mwanzo mpya wa serikali ni shidaHuu ni upotoshaji ambao hautofautian na ule wa kila mwezi wa saba wa kila mwaka.
Walimu muwe na subira.
Uthubitisho toka kwa nani na ww ndio uliotoa taarifa?KWA TAARIFA ZILIZO VUJA KUHUSU SALARY KWA MWEZI JULY 2016
TGTS A1-546,000
TGTS B1-694, 000
TGTSC1-782,500
TGTS D1-939,000
TGTS E1-1,319,000
TGTS F1-1,653,000
TGTSG1-1,970,000
TGTSH1-2,584,000
TGTSI1-2,865,000
......... HAPA KAZI TU
tunahitaji uthibisho
Wahitimu wa SAUT wana mishahara tofauti na wahitimu wa vyuo vikuu vingine?Taabu inakuja pale anapompita mwenye degree ya uhasibu toka SAUT. Huyu mhasibu ataona hathaminiwi hivyo atasepa na fedha yetu.
mkuu una hasira sana na mkuruMagufuli hawezi kuruhusu mshahara kuongezeka hivyo!Anawaonea wivu mno wafanyakaz kupata pesa hivhiv.Jpm si ajabu huwa anajishika kichwani kila anapouona mtumishi wa umma anapata hela.