kwahiyo jana mkaamua kuwawekea kwanza wanajeshi wetu?Ha ahaa a.., lahasha! Utatumika utaratibu wa kawaida, kilichobadilika ni muda uliotumika kuhakiki Watumishi kazi ambayo imelazimu watu kukesha wakifanya kazi, ingawaje mambo yatakuwa mazuri ASAP!
Maumivu ya nn tena mremboLakini biashara dah maumivu haswa
Ili uingize hio pesa lazima uwe na atleast 20 times hio amount katika regular business! 100 times in a major investment!Daah, ila jamani, 500k ni pesa ya kuingiza kwa siku, tena hapo siku hiyo umekosa sana 😂😂😂, daah, maisha haya
Biashara ngumuMaumivu ya nn tena mrembo
Not materiallyThere is power in giving. Hili somo halieleweki kwa tulio wengi. The more you give the more you receive.
Kweli asee sio jambo jepesiBiashara ngumu
Wanapamba sana ujasiri wa maliNataka nione watumishi wa umma wakijikita kwenye ujasiria mali!sitaki kuona vilio vya kusubiria mishahara mnaiaibisha serekali!!
That wont materialize to everybody though it works to many.Not materially
Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna.
Tumpe muda tuone.
Sasa ukivurunda unataka waendelee kukupenda? Hilo litakuwa pendo la kinafiki kama lile la kale kajamaa kaChadema walimpenda sana Job Ndugai na alipoenda India walimlilia, kwa sasa Chadema wanampenda Rais Samia!
hakuna kitu idara gani hiyo, mpaka sasa hamna kituMbona Mimi tayari ulishasoma....!
Cha kusave kipo basi boss? Acha tu.Jitahidi uwe unasave kwa dharura kama hizi
Haichelewi haina changamoto yoyote. Nenda ofisi ya utumishi utapewa utaratibu au bank unayotaka kuhamishia mshahara utapewa maelekezo ya nini cha kuandika na kufanyaJAMANI NAOMBA KUULIZA HOJA YA KUBADILI AKAUNTI YA MSHAHARA KUTOKA BENKI MOJA KWENDA NYINGINE KUNA CHANGAMOTO YOYOTE WAWEZA PATA? JE INACHELEWA KUBADILISHWA?
Ahsante sana. Nilibadili akaunti mwezi wa 4 baada ya mshahara kutoka. Sasa mwezi huu matarajio yangu ni kupokea mshahara katika akaunti mpya. Naona mshahara hauingii hadi nahisi nilikosea!! Ahsante kwa kunishirikisha.Haichelewi haina changamoto yoyote. Nenda ofisi ya utumishi utapewa utaratibu au bank unayotaka kuhamishia mshahara utapewa maelekezo ya nini cha kuandika na kufanya
Issue nyingine kuhusu hili ni kuhusu salary advance ambayo hutolewa na benki inakopitia mshahara wako. Sasa tangu nibadili akaunti huduma hiyo ktk akaunti mpya (benki) haikubali lakini akaunti ya zamani (benk) inakubali!! Niliwauliza wahudumu wa benki mpya wakaniambia huduma haipatikani kwa sababu akaunti mpya haijawahi pitisha mshahara hivyo hadi uanze kupita!! Sasa nawaza hadi sasa ni kwanini benki ya zamani hadi sasa inaruhusu huduma ya salary advance wakati mshahara nimeubadilishia akaunti??? Au hiyo benki hawajapata taarifa kuwa nimehamisha mshahara?? Hawana mawasiliano na hazinaHaichelewi haina changamoto yoyote. Nenda ofisi ya utumishi utapewa utaratibu au bank unayotaka kuhamishia mshahara utapewa maelekezo ya nini cha kuandika na kufanya