Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Ivi mpk sasa ivi hamjajua tu? Kwa nini hakuna mtu anamuuliza kwenye kampeni? au hapokei haya maswali? Tunataka kujua mshahara na marupurupu!
 
Mimi taarifa niliyonayo wakati ali hassani mwinyi anamaliza muda wake wa urais alikuwa anapata milioni 30 kwa mwezi kama mshahara na marupurupu yake yote
 
Polisi anayeanza kazi analipwa USD 1960 kwa mwaka yaani dola 160 kwa mwezi sasa huoni hali mbaya sana huyu hawezi hata kumsomesha mtoto katika shule muhimu na pia ukilinganisha na mtu anayefanya kazi leo Serikalini analipwa USD 520 kwa mwezi huoni ni nani muhimu hawa wazee wanataka kulindwa maslai duni watakoma hawa polisi si wamekubali kukirudisha Thithiemu Madarakani tena wana mpango kupunguza:bowl:
 

bob, hiyo dola laki nane ni kwa mwezi au?
 
Nitajie mshahara wako nikwambie mishahara ya hao watu.
 
Ukweli viongozi wetu wanakula parefu sana thats ni ngumu kuitangaza.Lkn nina uhakika Docta Slaa siku zikimkalia vizuri tutaujua ukewli.Kuna jamaa mmoja hapo kasema USA anapata dola 400000,bongo akichukua dola 200000 ni wizi coz uchumi wetu haufiki hata 0.000001 ya wa USA.TUNAIBIWA SANA
 

Msituchanganye wengine jamani, tunakwenda vizuri ila kuna vitu vingine havitakiwi kuvitia chumvi. Iweje currency yetu ni Tsh. na Rais apokee mshahara wake kwa $ acheni uzushi wenye mrengo wa upendeleo fulani.
 
Hawana haja ya kusema kwa kuwa wanajua Rais anajilipa anavyotaka, mlisahau Ben alichukua milioni 500 kama mkopo na akairudisha siku inayofuata
 
Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.
 

Never on this Earth!!
 
Hiyo ngumu ndugu yangu
 
Kwa Bongo hata ukiambiwa utatajiwa kitu cha uongo. Mshahara halisi utachakachuliwa weeee, balance utakayotajiwa lazima iwe fake.
 
Nakumbuka miaka fulani ya nyuma ilikuwa laki 8 kwa ngazi ya mkurugenzi
 
Kama mbunge na marupurupu (posho) anapiga milioni kumi, maana yake waziri anapiga mara tano ya hizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…