Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I once read somewhere (nadhani kwenye yahoo news) kuwa mshahara wa obama ni dola laki nne...nadhani article ile ilianzia kwenye issue nzima ya wamarekani kuhoji spending ya kiwango chake ya presidaa wao wakati fulani wa holiday..so kwa america si issue i think, na hata wa vice presidaa wao waliuonyesha na hata wa seneta...
ila huku kwetu duu..balaa..kuna mshikaji wangu alishawahi kufika scandinavian country (sijui ipi) anasema unaweza jua income ya mtu (incuding mshahara wake) kwenye mtandao tuu, wako very transparent..
Ni dollar laki nne kwa mwaka.bob, hiyo dola laki nane ni kwa mwezi au?
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.
Hiyo ngumu ndugu yanguWana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.