Mishahara ya viongozi wa Tanzania

matatzo tu jamani nakuomba ussifuatilie ukija kujua utazimia maana mmmmmmmm
 
Itakusaidia nini mkuu ukijua? Ushauri wa bure tafuta hela yako kihalali achana na mishahara ya watu utaishia kuumia tu wakati huwezi kuinfluence kitu hapo!!!!
 
Kwa nini wasipunguze hizo hela walipe deni la nchi.
 
hii nchi haina viogozi bora kiongozi ndo whats going on na kuhusu salary wanajua wanavyopeana maana no evidence of reality
 
mjue mshahara mkapange folen ya msaada
ila nchi yetu kila kitu ni cri km ukolon bn
 
Wewe hukusanyi kodi, achana nao utapata presha bure! Kila mwaka bajeti inapanda lakini pesa yote inaishia kuhamishiwa kwenye maAkaunti ya wakubwa kupitia mtandao. Hivi unajua Hazina na Serikali yote sasa hivi hawaandika hundi tena?

 
Mada yako tamu mjumbe, hongera
 
Mi navuta 21m Kwa Mwezi, chanzo ni cha uhakika Kwa sbb NI Mi mwenyewe. Na NI Mtumishi Wa Serikali za mtaa

Duh!nipe siri yako mheshimiwa,natamani kuwa kama wewevna sio kuwa mtu wa majungu kama wengine humu janvini
 
Guyz naomba msaada ile issue ya wabunge kupigana malysia nasikia kuna dada wa dodoma wa chadema anahusika naombeni mnijuze plz
 
rais hana mshahara ila ana matumizi yanayosimamiwa na jumuia ya madola
 
Hii ilijadiliwa humu JF 13th October 2013.
Raisi analipwa kiasi cha millioni 384 sawasawa na shilingi milioni 32 kwa mwezi. By zitto.

Hmm...kama ni hivyo sijui atakuwa kaufanyia wapi tu huo uchunguzi maana mimi nina zaidi ya miaka sita sasa nataka niujue lakini wapi!...
Si kila jambo lahitaji kuambiwa mpaka uchunguzi umefanyikaje...cha msingi ni kuwa Zitto alisema hayo hadharani na JK hakupinga hivyo, so simply and logically it's true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…