Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?

jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
mjue mshahara mkapange folen ya msaada
ila nchi yetu kila kitu ni cri km ukolon bn
Mi navuta 21m Kwa Mwezi, chanzo ni cha uhakika Kwa sbb NI Mi mwenyewe. Na NI Mtumishi Wa Serikali za mtaa
Si kila jambo lahitaji kuambiwa mpaka uchunguzi umefanyikaje...cha msingi ni kuwa Zitto alisema hayo hadharani na JK hakupinga hivyo, so simply and logically it's true.Hmm...kama ni hivyo sijui atakuwa kaufanyia wapi tu huo uchunguzi maana mimi nina zaidi ya miaka sita sasa nataka niujue lakini wapi!...