LightfrmHeaven
Member
- Nov 26, 2010
- 5
- 0
Polisi anayeanza kazi analipwa USD 1960 kwa mwaka yaani dola 160 kwa mwezi sasa huoni hali mbaya sana huyu hawezi hata kumsomesha mtoto katika shule muhimu na pia ukilinganisha na mtu anayefanya kazi leo Serikalini analipwa USD 520 kwa mwezi huoni ni nani muhimu hawa wazee wanataka kulindwa maslai duni watakoma hawa polisi si wamekubali kukirudisha Thithiemu Madarakani tena wana mpango kupunguza:bowl:
This is not fair kwa wananchi na polisi.
By the way, the General Police Order from colonial time is outdated. This needs a positive change as it is not worthy to be a policeman in TZ.