Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Polisi anayeanza kazi analipwa USD 1960 kwa mwaka yaani dola 160 kwa mwezi sasa huoni hali mbaya sana huyu hawezi hata kumsomesha mtoto katika shule muhimu na pia ukilinganisha na mtu anayefanya kazi leo Serikalini analipwa USD 520 kwa mwezi huoni ni nani muhimu hawa wazee wanataka kulindwa maslai duni watakoma hawa polisi si wamekubali kukirudisha Thithiemu Madarakani tena wana mpango kupunguza:bowl:

This is not fair kwa wananchi na polisi.

By the way, the General Police Order from colonial time is outdated. This needs a positive change as it is not worthy to be a policeman in TZ.
 
hvi kwa hesabu za haraka wakilipwa sawa na walimu si kila mwanafunzi atasoma bure?
 
aiseeee hawa jamaaa mishahara na marupurupu sio chini ya 15milion,niliona mchanganua wa jamaa wa tanroad aitwae mrema weee unakaribia 30 milion kwa mwezi hii ndio bongo haki sawa kwa wote hakuna.so why kila mtu nataka kuwa kiongozi
duuu kweli hii!
 
Mishahara ya serikali inajulikana kwa viwango vyake (PS/ TGS Scale A,B,C,D ?). Ingawa sijui kama inapatikana online.
 
Hizi sirisiri hizi ndy zinasababisha watanzania wengi waendelee kuwa MAMBWIGA!
 
Hizi sirisiri hizi ndy zinasababisha watanzania wengi waendelee kuwa MAMBWIGA!


Umbwiga wetu hautoisha mpaka siku tuatakapoanza kuwalk the talk.. hata ukijua leo mishahara yao tutaishia kulalamika kwa maandishi huku kwenye forums mwisho wa siku maisha yanaendelea, ndivyo watz tulivyo:whoo:
 
Utaambiwa mshahara ni siri ya mhusika.

Kweli kabisa, mshahara ni siri ya mhusika. Na ndiyo maana kuna madaraja kama THS...., sasa cha kufanya we tafuta scale za serikali kwa ujumla then utajua range ya mishahara ya hawa watu kwani hawalipwi kama zawadi bali wanaifanyia kazi hivyo ni jasho lao ambalo ni siri yao ambayo pia hulipiwa kodi ukiacha ya wale wa mjengoni.
 
[QUOTE=Ndallo;1309715]QUOTE=terabojo;Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.[/QUOTE]

Je wewe uko tayari kutoa siri yako na mke wako ya ndani?:embarrassed:[/QUOTE]

Kwani zimeulizwa siri za nyumbani mwa hao watu au mishahara yao? Huyu naye ndo walewale tu. Makampuni yote ya umma na mawaziri ni wajibu wako wewe mlipa kodi kujuwa unawalipa kiasi gani. Umasikini wa mawazo na wizi ulio kubuhu ndo unawafanya watu kama nyinyi kupinga hoja ya mtoa mada. Kwa wenzetu walioendelea mbona ni kitu kilicho wazi kabisa, unajuwa mshahara wa Obama na wasaidizi wake wote, utasemaje kuhusu hao sasa? Unapaswa ufunguke hiyo akili yako, usiwe kama una mtindio wa ubongo. Wanashindwa kuweka mishahara yako kwa sababu matumizi yao ni makubwa kuliko mapato ndo maana watu kma nyie mnao chakachuo mnapinga hii hoja.
 
wahuni hawa wameshindwa kuweka wazi mikataba ya madini ndo waweke wazi mishahara yao? ila tetsi nlizonazo ni kuwa PM wa bongo anaweka takoni mil 28 kama mshahara wake tu (toa marupurupu, safari, mafuta ya bure n.k nadhani we unaelewa)

Aiseeee hawa jamaaa mishahara na marupurupu sio chini ya 15milion,niliona mchanganua wa jamaa wa TANROAD aitwae MREMA weee unakaribia 30 milion kwa mwezi hii ndio bongo haki sawa kwa wote hakuna.so why kila mtu nataka kuwa kiongozi

]dg wa nhc walisema anaweka kibindoni 15 [/B]kabla ya marupurupu

Hali inatisha, tofauti ya mishahara kati ya yule wa chini na yule wa juu ni kubwa mno !!!! Mwalimu wa shule ya msingi analipwa Shs 200,000/= na usumbufu kibao. mshahara huu kuupata ni mpaka asafiri toka kijijini kwenda makao makuu ya halmashauri (km 15 hadi 50 one way) na halafu ajipange foleni ndefu ya ATM!!
 
Msituchanganye wengine jamani, tunakwenda vizuri ila kuna vitu vingine havitakiwi kuvitia chumvi. Iweje currency yetu ni Tsh. na Rais apokee mshahara wake kwa $ acheni uzushi wenye mrengo wa upendeleo fulani.

Lipi linashindikana?.. kama Gavana wa BoT anakula $ sembuse Rais?
 
Inabidi kwanza tuachane na utaratibu wa wabunge kujiidhinishia maslahi yao wenyewe; hii haiendani na mantiki yeyote ya kawaida, achalia mbali utawala bora!

Mkuu mpaka sasa hatujasikia kitu kutoka kwa wabunge wa Chadema kuhusu mbunge kulipwa mil 12 kwa mwezi je mnamkakati wowote wa kulibana bunge lipunguze hiki kiasi cha pesa au ndo mnaanza na kudai katika kwanza?

Maanake tusiwe wanafiki bora tuwe wazi kuwa priority number one ni katiba halafu labda maswala ya mishahara ya wabunge baada ya uchaguzi wa 2015 au 2020.
 
bora kujua kidogo kuliko kutokujua kabisa.............
 
Inawezekana,mbona gavana peke yake anakula $144,000 kwa mwaka!
 
Kati ya Mishahara inayotia hasira na kufany anione hii nchi sio masikini ni ya CEO wa PPRA na PSPF. CEO wa PPRA Dr. Mlinga analipwa 7 Million, wakati mama Mmanga wa PSPF analipwa 6.7 Milion...!

Jamani hii inatisha...! Bado hawa watu wanamarupurupu ya kutisha, Gari, nyumba traveling allowance etc...! Leo hii tunaambiwa nchi ni masikini...!
 
Back
Top Bottom