Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

Kuna
Mashangazi uko
Taasisi flani makao makuu dodoma Grory Mushi ulinichamgamkia sana japokua nilikua namtafuta grory mwingine unatembea na roho yangu 😂😂😂 sio kwa uzuri huo wewe ni zaidi ya mishangazi japokua nilikua domo
Zege 😂😂
 
Tatizo ni kua wanawake wanakua mishangazi kwenye umri mdogo, miaka 26 tu tayar anajipa hizo sifa kisa ana toto 3.

Enzi zile mshangazi ni wale waliofika menopause, sasa hivi 35 tu anajipa cheo cha mshangazi.

Poor Brain Marioos platform ambassador unaliongeleaje hili??
Daaah ungeishia tu kwa poor brain
Et umemaliza mariioo
Ambassador mara platform 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Humu ndani watu ka wachawi vile
 
Back
Top Bottom