and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
- Thread starter
- #101
Mishangazi ilikua zaman
Endelea na Punyere Mkuu. Utatunza kibunda chakoKuna limoja nimelibwaga juzi kati hapa..lilikua na njaa sio poa,linaomba mpaka vocha...
Sisi tulijua msingi KIuNO na kujitumaTuache bwana wee!
Kuna moja lenyewe linakwambia linapima Konyagi ya Buku mbili utalipia kwa Mangi nikaona hapa Hapana mkuuKuna limoja nimelibwaga juzi kati hapa..lilikua na njaa sio poa,linaomba mpaka vocha...
Ukaona hamna kazi hapoKuna moja lenyewe linakwambia linapima Konyagi ya Buku mbili utalipia kwa Mangi nikaona hapa Hapana mkuu
Sasa hadi konyagi linagongea namie nilijiweka kwenye Payroll nikaona hapa hamnamo MtuUkaona hamna kazi hapo
Aisee! Vijana mko speed sana jmn..Sasa hadi konyagi linagongea namie nilijiweka kwenye Payroll nikaona hapa hamnamo Mtu
😂😂😂 ni kweli unalomba vibibiVishu ebu kuwa na tafsida basi..
Hvi unajua kauli zako kuna waty watajua mimi nalomba vibibi humu 😂😂😂😂😂