Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Tatizo unapenda sana ndege na shopping. Ulichekecha kipindi unapewa taarifa za msiba kabla hujakwea pipa, ukaona huwezi kuacha shopping ukaangalie vifusi.😁lakini nilipata mualiko kwenye kikao cha kikoba muhimu cha wale mabeberu wakuu wanaotugaia maokoto. Mnisamehe waungwana napenda kuwapa pole sana natumai mazishi yalienda salama.
Maana kwa akili za kuchangia chochote chenye tija tunajua huna. Kwako kila kitu kipo scripted.