Tatizo unapenda sana ndege na shopping. Ulichekecha kipindi unapewa taarifa za msiba kabla hujakwea pipa, ukaona huwezi kuacha shopping ukaangalie vifusi.๐lakini nilipata mualiko kwenye kikao cha kikoba muhimu cha wale mabeberu wakuu wanaotugaia maokoto. Mnisamehe waungwana napenda kuwapa pole sana natumai mazishi yalienda salama.
Kila kitu kipo wazi shekhe?Kama kuna jambo hulifahamu vema ni bora kukaa kimya kuliko kuropoka
Kupanga ni kuchagua...hakuna jambo baya kama kupangiwa... Na kuchaguliwa....Mimi hiyo Mil 700 ningeongezea mil 300 ikafika bil moja then nikawapa waathirika wa kariakoo .
Kuliko kuipa Timu ambayo tayari ipo na facilities zote .
Maana kinachoendelea hadi sasa ni kukosa vipaumbele.
Ni kweli nilijua mtaongea tu hata nikifanya nini ndio binadamu tulivyo ila kikubwa manywele si amesimamia zoezi vizuri. Nilimpa na washauri wangu wakaweka kambi kabisa kusimamia kazi.Tatizo unapenda sana ndege na shopping. Ulichekecha kipindi unapewa taarifa za msiba kabla hujakwea pipa, ukaona huwezi kuacha shopping ukaangalie vifusi.
Maana kwa akili za kuchangia chochote chenye tija tunajua huna. Kwako kila kitu kipo scripted.
Washauri wako waliweka kambi ila sio kusimamia bali kuuza sura na kunywa Malta chini ya mahema. Manyewele kama kawaida yake alikuwa anapiga porojo nyingi kuliko vitendo.Ni kweli nilijua mtaongea tu hata nikifanya nini ndio binadamu tulivyo ila kikubwa manywele si amesimamia zoezi vizuri. Nilimpa na washauri wangu wakaweka kambi kabisa kusimamia kazi.
Balaa๐Au ule uji na ndondo๐
(ni kama ushoga, tunaupiga vita sana tena sana, but our kizazi hiki cha bongo fleva, wako inclined to that! Wasanii wanachexa UCHI kwenye stage na sasa jamii inaanza kuwakubali as "NORMAL" muziki)๐๐ฟโโ๐๐ฟโโ๐๐ฟโโSlowly this is dying out. Inaweza ikachukua muda, lakini inakuja: Kwa vipi?
1. Kuna makampuni ya kuzika yananzishwa. Hutahitaji watu kuja msibani. Ndugu wa karibu ndio watakuwa kwenye msiba na maziko yanafanywa na ndugu hao hao, technical staff wakiwa kampuni za mazishi i.e kuchimba Kaburi, kufukia and all that is necessary for that business! (Western World wako hapa, hakuna mkusanyiko wa mtaa/kijiji etc kwenye mazishi).
Wengi wangependa kufanya kama hapo No.1 lkini fedha bado kikwazo....... lakini everybody is inclined to that route...it is a matter of time!
(ni kama ushoga, tunaupiga vita sana tena sana, but our kizazi hiki cha bongo fleva, wako inclined to that! Wasanii wanachexa UCHI kwenye stage na sasa jamii inaanza kuwakubali as "NORMAL" muziki)