Na hata wakila, chakula kikiwa na kasoro wanalalamika.Duh, Kazi kweli kweli!
Na wasipokula wanalalamika!
Misiba ya watu kwa interest zao unasema ya kikiristo.Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza.
Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye ubora unaolingana ili kuondoa hii tofauti?
Mtu akipata msiba anawaza namna gani aufanye msiba huo uwe wa kifahari! Na wakati mwingine marehemu alikosa msaada wa tiba bora; na huenda ndio hasa chanzo cha kifo chake!
Usiniquote vibaya mkuu.Misiba ya watu kwa interest zao unasema ya kikiristo.
Wapi kwenye biblia wameweka gharama za misiba??
Michakato gani ya kikikristo inataka pesa nyingi.Usiniquote vibaya mkuu.
Nimesema ya kikristo kwasababu kwa asilimia kubwa ndiyo huwa na mchakato mrefu! Tofauti na dini nyingine ambao wao mazishi hayahitaji hata jeneza. Samahani kama utakuwa umeelewa tofauti
Michango ya msiba ni mikubwa na unalazimishwa kutoa.Walikuomba mchango wa jeneza ?
Wapi huko wana lazimisha kutoa ?Michango ya msiba ni mikubwa na unalazimishwa kutoa.
Watu wengi leo hii wakupatwa na msiba wanawaza namna ya kuufanya uwe wa kifahari. Wanashona sare, wanaandaa ukumbi nk.
Mbaya zaidi usipotoa mchango unatengwa! Sasa swali langu ni je kuna umuhimu wa hayo yote?
Jitahidi sana kutofautisha kati ya 'mingi' na 'yote!'Mfano, Mimi kwetu misiba ni ya Jamii nzima, kila mfiwa kwa uwezo wake. Kazi ya viongozi wa dini ni kusoma ibada ya mazishi tu na nyimbo za kusindikiza mwili.
Nimekuja Uchaggani, Kuna shida kubwa: MC analipwa, wachimba kaburi wanalipwa, padre analipwa.
Jitahidi sana kutofautisha ukiristo na maisha mengine ya watu.Jitahidi sana kutofautisha kati ya 'mingi' na 'yote!'
Ni upumbavu tu watu vichwa hawavifikirishi wanazipa shingo tabu kubeba matikiti maji.Kama hutak gharama badili dini uende ambapo hakuna gharama
Watu dizain hii unakuta kwao ukoo mzima hakuna anayeweza ku-spell million moja kwa tarakimu.Roho ya umaskini inakuandama rafiki!
Watu dizain hii unakuta kwao ukoo mzima hakuna anayeweza ku-spell million moja kwa tarakimu.
Shida tupu!
Na hata hao wanaojisifia kwamba hawana gharama ni umaskini wao tu na roho mbaya.mara nyingi utoaji wa hela za kufanikisha kumpuzisha na kumsitiri mpendwa wenu hua ni hiari sijawahi ona mtu akilazimishwaš¤š¤
Nahis Lengo lake halikua msiba alikua anatafuta namna ya kuattack Imani za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hata wakila, chakula kikiwa na kasoro wanalalamika.
Ndio binadamu sisi tulivyo.