Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

Tafuta hela ukifa tule ubwabwa tena kuwe na buffer na maji ya kilimanjaro
Miye mkristo jina,nilishawaambia ndugu nikifa wanichome moto,majivu yangu wayazike kushoto lilipo kaburi la mama yangu,wamekataa

Nikifa we njoo ule buffet
 
Miye mkristo jina,nilishawaambia ndugu nikifa wanichome moto,majibu yangu wayazike kushoto lipo kaburi la mama yangu,wamekataa

Nikifa we njoo ule buffet
Uwaambie sasa ndugu zako wasiache kunipa taarifa mapema siku moja kabla a kifo chako
 
misiba imekuwa kama sherehe fulani hivi. Anyway ishakuwa kama utamaduni uliozoeleka. Unakuta watu wamejaa kumbe wengine wanapata wasaa wa kupata mlo tofauti kwa siku
Usisahau wale jamaa wanao tembea na ndizi kwenye kanzu katika misiba
 
Ahahahah utarithi basi kikombe
Aahaaaaa,dada anatosha,nipe hata dada Yako,Kwa mwandiko wako nahisi we utakuwa handsome boy Fulani hivi wa kishua,na wakishua mara nyingi wanakuwaga na dada Wazuri

MAra nyingi matajiri wa kiume huoa wake wazuri na hivyo hupata mbegu nzuri za watoto
 
Ahahahahha wakishua which? Nakaa tandale mzee
 
Usisahau wale jamaa wanao tembea na ndizi kwenye kanzu katika misiba
Bora hao,waislamu pamoja na madhaifu yao ya kiimani ila ni watu Fulani simpo sana,ndo maana hata maisha yao siyo ya presha Wala msipongo wa mawazo

Sina data,ila nahisi mwanaume wa kiislamu ana chansi kubwa ya kuishi !Uda mrefu kuliko mwanaume wa kkikristo

Kuanzia kuzaliwa,kuoa na mengineyo,

Tuna maraisi swatano wastaafu,wawili washatangulia,wawili wapo hai

Nimesema Sina data
 
Back
Top Bottom