Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

Huku Kwa Wakristo Kila kitu ni shida,kiufupi Mimi nitajitahidi kupunguza gharama kadiri inavyowezekana maana kukaa siku nyingi na maiti haibadili kitu Wacha maisha yaendelee
 
Na hata wakila, chakula kikiwa na kasoro wanalalamika.
Ndio binadamu sisi tulivyo.
Na hata wakila, na chakula kisipokuwa na kasoro lakini kisipotosha, bado watalalamika tena [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…