#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona


Kuna nchi ina mijitu inajifanya yenyewe ni miumini sana. Kumbe ninaji mkubwa.

Ingekuwa ni makazi ya huko ingesema hiyo ni vita vya kiuchumi dhidi ya jiwe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Tatizo hujui kabisa kuhusu maandiko. Bible imeonesha kutakuwa na majaribu yataletwa na shetani na atakitokeza shetani katika sura tofauti kudai kwamba anaweza kukusaidia ila ukisimama katika kweli huwezi ukamfuata. Na shetani anaweza pita hata kwa wa karibu zaidi unaemwamini. Ila simama na kweli. Kwani inakuwaje mtu analrogwa na mchawi halafu anaenda kwa mganga?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Yani unapewa mtihani unataka na majibu?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe nd hujui dini kabisa hivo!? Aliekuambia nchi ikiwa ya kidini hakuna dhambi nani? Imani ni individual thing sio collective thing.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Eti kanijibu hapana allah yeye ndiye muumbaji wa kila kitu Hana chanzo yaani kamaliza hivyo yaani bila ithibati na anataka niamini [emoji3][emoji3][emoji3]
Logic nyepesi 2 kama Mungu alikuwa anaweza kuumba kila kitu kwa kutaja 2. Je aliemuumba we unahisi angeitwa nani na angemuumba mtu mwingne afanye kazi yake ili iweje mbona swali lako ndo halina logic.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kiini cha mwanadamu ni nini?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Dini ya kweli nd oldest dini sasa mazingaombwe mbon yamepita mengi yametoweka iliwepo mizimu yenu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sas unataka uletewe hyo dawa wewe ambae umemkana Mungu. Huyo Mungu angekuwa dhaifu sana yani mtu akukane afu umsaidie? Duu we ulisikia wapi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kosa kubwa ambalo mwanadamu anaweza kulifanya kama kufunga Kanisa. Kufunga Kanisa maana yake "umesarenda" kwa ibilisi. Shetani anachukua pointi tatu muhimu mezani mchana kweupe. Yaani ...


YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
Ujue katika makanisa imani zinatofautiana. Ko unachosema ni kweli kabisa kwa mtu mwenye imani kufunga kanisa kisa corona ni upumbavu wa hali ya juu kabisa. Ila ujue shetani ni mjanja anawafuata viongozi maan nao ni binadamu anawahadaa anawapa solution zake za kishetani ila kwa sura nyingne. Sasa wale wenye imani ndog hutetereka na kuanza kumtegemea yeye. Lengo lake linakuwa limetimia anatengeneza problem analeta solution. Then moja kwa moja unakuwa umemuabudu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ni kosa kubwa sana kutumia mapungufu ya mtu mmoja mmoja kulitukana kanisa. Nkuulize swali Tanzania kuna mashoga. Je wewe ni shoga? Kama sio kwann useme mtumishi fulani kafanya hivi basi nyny wote mko hivi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mnachekesha kweli waafrica aisee. Mlikuwa na maendeleo gani nyinyi? Vyo vyenyewe mlikuwa hamvijui. Biashara mlikuwa hamzijui. Mlikua mnanuka dhambi na uchafu wa kila aina. Ubaguzi wa kila aina. Mlikuwa hamjui maan ya kuishi ndani ya makazi bora. Mlikuwa nothing. Hamkuwa hata na mazao ya vyakula tofauti tofauti. Mlikuwa hamjuie ela nyny. Hamjui usafiri. Leo hii mnasema mngebaki na utopolo wenu ule mngeendelea? Duuuuuhhhh!!!

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Halafu huyo Mungu wake chanzo chake ni kipi? There is point of start of life. Sas we umevikuta huwezi jiuliza wa kwanza kuvikuta ilikuaje? Kama artificial ina chanzo sas jiulize binadamu aligunduaje kuwa tunaeza tengeneza chanzo fulani? Kama sio kuiga vilivyopo. Au ntajie kitu ambacho binadamu kaanzisha kipya kabisa kimsingi hajaiga kwenye vilivyopo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ila umesahau kitabu kitakatifu nacho kimeandikwa na mtu...
We unaongea lugha ya Mungu? Vitabu vililetwa hasa kwa ajili ta watu wenye dhambi maan hawaongei godese(lugha ya Mungu wanaongea wenye imani tu kwahiyo ilibidi awepo mtafsiri nae ni nabii aliekuwa anaongea godeese. NB. Godeese simaanishi kunena kwa lugha)

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Daa we jamaa samahani lakini? Either upeo wako wa kutafsiri mambo mdogo sana au una dhana ya kiburi. Yani unashangaa mtu kutemwa na samaki kuliko kuzaliwa kwako? Hii sasa ni hatari. Hushangai kwann unaongea unapumua unaakili unamaamuzi fulani una upendo unashangaa kumezwa na samaki. Ko wewe akitokea mganga hapa akatibu corona maan ake nd utamuabudu. Yani wwe ungekuepo kipindi cha kina Thor kwa maajabu waliokuwa wanafanya basi naamini ungekuwa member wao.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hakiwezekani je wewe ulishawahi kushuhudia utueleze hapa jinsi inavyo wezekana

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila Kuna watu kweli Nikondoo
Mimi kitendo cha kuzaliwa kujaliwa maarifa na kuendelea kuishi ni maajabu kuliko yona kumezwa na samaki.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Nd maan binadamu nimekupa mfano wa kuhus mtihani wa what is biology. Mitihani ya Mungu ni hayo majanga know the difference. Turudi kwenye hoja. Mungu katoa vitabu vitakatifu vilivyoeleza kinaga ubaga madhara ya ukaidi. Nd inatakiwa ujibu paper sasa. Kwani huwezi ukampa mtu swali la mtego ili ajijue ni mjinga kaisi gani kiasi kwamba aombe msaada?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hajui kusoma Wala kuandika halafu anawapa maono yake' watu wamuandikie so alikuwa anauhakika upi kuwa kile kinachoandikwa na hao aliowapa maelekezo ndio hicho hicho alichokiota ndotoni
Weak point. M2 asiesoma akipata uvumbuzi hawezi enda kuwapa wazo wasomi wenye ujuzi fulani na wakachambua na kupitisha kama kina logic. We una uhakika kila mgunduzi katika science alikuwa na elimu?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…