Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini, idadi ambayo inafikisha jumla ya misikiti iliyofungwa ndani ya siku 11 kufikia 92 ambapo 79 imeshafunguliwa baada ya kupulizwa madawa na kukamilika kwa hatua za kuhakikisha utayari wa za kiafya zipo katika hali inayotakiwa.
Chanzo: Wizara ya mambo ya kiislamu S. Arabia.
Kuna nchi ina mijitu inajifanya yenyewe ni miumini sana. Kumbe ninaji mkubwa.
Ingekuwa ni makazi ya huko ingesema hiyo ni vita vya kiuchumi dhidi ya jiwe.
Au nasema uongo ndugu zangu?