#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Kwani katika imani yako wewe unafundishwa nini?
Alafu mkuu unakakiwa ujue kuna utofauti wa Religion, faith/believes na spirituality.... watu wengi mmekuwa mkivichanganya hv vitu mkidhani ni kitu kimoja. Sasa kabla hujamuuliza mtu swali km hyo inakupasa ujue kutofautisha hayo maeneo matatu!!!

Usiniulize vnatofauti gani tumia mda wako kujifunza maana sio vitu vya kuvielewa siku moja
 
Ni upumbavu tu wa watu wasiojilewa unakuta jitu Zima limekaa eti linaamini muhamadi alipaa akaenda mbinguni kukabidhiwa swala 5 ... Ukimuambia thibitisha anabaki anatoa toa macho tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kumbe wanatumia chanjo ya mmarekani Mimi nilidhania kwamba wanatumia chanjo ambayo waliigundua wao wenyewe kwa kutumia mashekhe wao waliogundua dawa kutoka katika Qur'an itoshe tu kusema kwamba hizi dini Ni wizi mtupu katika nyakati Kama hizi ambazo ni nyakati ngumu kwa dunia hizi dini ndio zilipaswa kuja na majibu (suluhisho ) la matatizo yaliyopo na sio kukaa kusubiri tafiti za kisayansi ziwapatie dawa wao na waumini wao hizi dini Ni scam Ni utapeli mkubwa Sana kuwahi kutokea duniani
 
Sijakuelewa,wewe unaamini kwa fact au hauamini kabisa?
 
Poor you 'unapotumia majina ya asili ya jamii ya watu wengine unauwa utamaduni wako Unapoteza historia ya taifa lako na kizazi Chako kizazi kijacho kikija kitakosa history Bora kuhusu taifa lenu na kitashindwa kujivunia Jambo lolote lile toka ktk taifa husika ... Unapoilinda history ya nchi yako na utamaduni wako unakuwa umefanikiwa kuulinda uchumi wa nchi yako na Rasilimali zake pia au haya hauyafahamu unataka tuanze kukupa darasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijakuelewa,wewe unaamini kwa fact au hauamini kabisa?
Mimi natumia fact situmii imani
Imani Ni kitu Ambacho kinataka uamini pasipo uwepo wa mantiki so ktik maisha yangu Mimi natumia mantiki situmii imani ukisha niambia kuwa na amini Basi inakuwa umenipachika sifa ya kupelekwa tu Kama ng'ombe wakati hiyo sio sifa yangu
 
Hayo unayoyaeleza ndio huwa unafanya kila ukienda hospitali kwamba yanawezekana kiuhalisia au unaeleza kinadharia?
Mkuu labda nkufahamishi mm n miongoni wanao operate ktk medical field so najua ethics za medical znataka nn...!!! Shida mifumo ya kiafrika inaendwa kitumwa inashia kuamini tu hataki kuhoji wenzetu nchi za nje mfumo upo hvyo.

Ni haki yako!!! Dr anatakiwa akieleze kutoka namaelezo uliyonipa nahic inawezekana utakuwa natatizo hili au hili au hili hvyo nashauri naomba tufanye vipimo hv... ww ndio wa kuamua dr anatakiwa akushirikishe kila kitu kuhusu afya yko hana haki ya kuchukua kipimo bila ww kujua au ridhaa yko... akifanya hvyo bila ww kutoa ridhaa yako au kukushirikisha una haki ya kumfungulia mashtaka!!! Sema kiafrika ndio hvyo mfumo wa kuamini bila kuohoji tunamuona dr nae km yehova a
 
Marekani nayo ni nchi ambayo kuna watu wa dini mbalimbali hata rais wa nchi hutakiwa kuapa na huwa wanatumia vitabu vya dini zao.
 
Def: ya Imani: Imani ni kukiri kwa dhati isiyo na shaka kuwa jambo fulani ni la kweli, kweli kabisa kabisa bila ushahidi wa kisayansi
Na hapa ndio shida inapoanzia...Sasa hapo mtu anawezaje kuthibitisha kitu kisicho na ushahidi?
Ukishasema bila ushahidi...huwezi tena kuthibitisha
 
Marekani nayo ni nchi ambayo kuna watu wa dini mbalimbali hata rais wa nchi hutakiwa kuapa na huwa wanatumia vitabu vya dini zao.
Ndio umeongea Nini Sasa hapa upo sawa kweli wewe upstairs

Thibitisha kwamba hiyo chanjo ya kutoka marekani imefanyiwa utafiti katika Qur'an ndio maana ikafanikiwa kupatikana
 
Pole yao sana...

Na nyumba za ibada hua zina beba watu wengi sana...
 
Mimi nazungumzia kuhoji sio kushirikishwa kuhusu kushirikishwa mbona sio tatizo tunashirikishwa,mimi nazungumzia kuhoji usahihi wa vipimo walichokupima pamoja na maelezo ya Daktari.

Kwa sababu hakuna watu wanaoaminiwa kama madktari na hii duniani kote.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] wanasubiri nini kumuomba Mungu was awaepushe na Hilo janga?

Mkiambiwa dini Ni janja janja mnakataa
Mungu anataka wamuambudu... Watu wa mungu wanakutana kwenye nyumba za ibada kumubudu Mungu lkn Mungu huyo huyu tena analeta gonjwa la corona ambalo linawafanya watu wasikusanyike kwa ajili ya kumuabudu.

1. Sasa swali hv Mungu anataka abudiwe au asiabudie? Hv ijumaa nayo itaswaliwa majumbani
2. Km Mungu ameleta corona kama mtihani wa kipimo je anapima nn? Na huku anajua madhara ya alichokileta?
3. Watu wakikusanyika misikitini watapata corona watakufa. Je Mungu ni muuaji?

Yani huyu Mungu kwa kweli mambo yke yanachanganya
 
Hv mkuu unasoma kwa makini nnachokiandika.. nimesema ndio ni haki yangu kuhoji!!! Sasa km ww hauoji shauri yko
 
Kama wakristo tutaruhusiwa kuchangia. Bible inasema Mungu analinda watu wake ila haijasema analinda watu. Watu wa Mungu ni wapi? Bible inasema ni wale wanaoshika maneno yake wakati wote. Sas Mungu watu wake naamin bado anawalinda mpaka kesho ukitaka kishuhidia acha dhambi is as simple as that. Kumbuka sodoma na gomora Loth alimuacha mke wake akageuka jiwe la chumvi kwa sababu ya ukaidi ndo iwe watu wenye dhambi leo hii.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuwa kondoo ni hasara kuliko kitu chochote hapa dunia nimesoma maelezo ya jamaa yanasikitisha kwa kweli. Anajutukana hadharani kabisa eti majina yetu ya asili yanafaida gani... sasa naanza kuelewa kwann Magufuli anataka kuanzishwe somo la historia ya tanzania.. Daah inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…