#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inachekesha Sana kuona kwamba katika dini zenu mnafundishwa kwamba tumtegemee Mungu katika kila Jambo halafu pindi inapotokea matatizo makubwa Kama hili la Corona Huyo Mungu anabaki kuzubaa zubaa tu anawaacha watu wafe
Sas mtu kama wewe kwa mawazo yasahivi utamlaumu Mungu kwa lipi? Na Mungu hawezi toa dawa kwa dunia nzima kwasababu kuna watu wana mawazo kama yako kujiona special mbele ya Mungu kuliko Mungu. Yani kati ya wewe na Mungu nani ana tatizo hapo? Si ushapewa protocol za kumtafuta.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ushaambiwa Mungu ni mmoja tu sasa hiyo ya Mungu kuwa na Mungu wake linatoka wapi?
Simmesema kila kitu lazima kiwe na chanzo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

So inamaana huyo Mungu alizuka tu pasipo uwepo wa chanzo kilicho mfanya awepo !?? Kama kwake yeye iliwezekana hivyo yaani akawepo bila uwepo wa chanzo chake kwanini ishindwe kuwezekana hivyo katika vitu vilivyopo duniani ambavyo mnadai kwamba uwepo wake ume sababishwa na Mungu ''

Yaani Kama mkitaka teuelwane hapa kwamba kanuni ya uwepo wa vitu au kitu fulani ili kiwepo Ni lazima kiwe na chanzo Cha aliye kiweka Basi yatupasa tukubaliane hapa kwamba Mungu nayeye ana Mungu wake aliye pelekea uwepo wa Huyo Mungu wenu kuepo ... Kama Mungu Hana aliye sababisha uwepo wake na Hilo linawezekana yeye kuwepo Basi simply tu hata hivi vilivyopo duniani vinawezekana kuwepo bila kuhitaji kuwekwa na yeyote yule full stop [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] msinichoshe ngoja nikale mie watu gani mnabishana tu bila logic

Khaaaaa !!!!!
Hahahaha wewe pia unatuchosha , kila ukielezwa unamajibu yako mfukoni.
 
Simmesema kila kitu lazima kiwe na chanzo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

So inamaana huyo Mungu alizuka tu pasipo uwepo wa chanzo kilicho mfanya awepo !?? Kama kwake yeye iliwezekana hivyo yaani akawepo bila uwepo wa chanzo chake kwanini ishindwe kuwezekana hivyo katika vitu vilivyopo duniani ambavyo mnadai kwamba uwepo wake ume sababishwa na Mungu ''

Yaani Kama mkitaka teuelwane hapa kwamba kanuni ya uwepo wa vitu au kitu fulani ili kiwepo Ni lazima kiwe na chanzo Cha aliye kiweka Basi yatupasa tukubaliane hapa kwamba Mungu nayeye ana Mungu wake aliye pelekea uwepo wa Huyo Mungu wenu kuepo ... Kama Mungu Hana aliye sababisha uwepo wake na Hilo linawezekana yeye kuwepo Basi simply tu hata hivi vilivyopo duniani vinawezekana kuwepo bila kuhitaji kuwekwa na yeyote yule full stop [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha taja basi kimoja tu ambacho hakuna aliclaim kuwa yeye ni muanzilishi.
 
Watu waliopita mfano wako, walitaka watolewe ngamia kutoka katika jabali na walipotolewa pia haikuwasaidia kitu.
Yaani na ujanja wako wote unakubaliana na hizo esopo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mbona hata Mimi ninauwezo wakukubadilisha jinsia je na Mimi Ni Mungu au nimtume !?

Wenzenu walikuwa wanatumia mazingaombwe kuwa brain washe na nyinyi mmekubali kuhadaika [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tatzo ukiwa kondoo kila unachoambiwa huelewei
Hizi dini znawafanya watu wasitumia akili zao vzr watu hawawezi hata kuhoji???
Unachoambiwa na kiongozi wa dini ndio hicho hicho unakifuata
Umeshaambiwa kila binadamu atabeba mslaba wake ndugu. Mtu wa kweli wa Mungu referense yake ni kitabu kitakatifu sio mtu mwingne.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ndio mnavyoongopewa hvyo nenda kafanye utafiti uone pesa wanayoingiza km wao watu wakutoa sadaka kwann wasije kutoa nchi za afrika ambako kuna vita na maskini wengi au sehem yyte ya dunia wenye njaa ama kwa wakimbizi... ulishawahi kusikia saudia imetoa msaada kwa hao watu?

Alafu Allah anasema tufia dini yake sasa corona kama tunaiogoa jihad mtaweza kweli.. je ikiwa ni mpango makafiri kuwafanya msiwe waumi? Watu wasijifunze dini ya Allah? Au watu wasipate dawa ama watu wasifanye hijja? Hauoni kama mtakuwa mnamuasi Allah

Acha uongo saudia hua inawapa tende wazanzibar😅😅😅😅😅
 
Umeshaambiwa kila binadamu atabeba mslaba wake ndugu. Mtu wa kweli wa Mungu referense yake ni kitabu kitakatifu sio mtu mwingne.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ona huyu mlokole hicho kitabu kina contradiction kibao unaanzaje kukiamini kitabu Kama hicho ...mpaka Sasa kimeshindwa kuthibitisha kuwa kinaijua sayansi Kama kilivyo sema but Still unakiamini

Ama kweli wewe Ni thumun bukumun umuyun [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna kosa kubwa ambalo mwanadamu anaweza kulifanya kama kufunga Kanisa. Kufunga Kanisa maana yake "umesarenda" kwa ibilisi. Shetani anachukua pointi tatu muhimu mezani mchana kweupe. Yaani ...

YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
 
Yaani na ujanja wako wote unakubaliana na hizo esopo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mbona hata Mimi ninauwezo wakukubadilisha jinsia je na Mimi Ni Mungu au nimtume !?

Wenzenu walikuwa wanatumia mazingaombwe kuwa brain washe na nyinyi mmekubali kuhadaika [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio esopo, ni vitu vipo kwenye maandiko.
 
Simmesema kila kitu lazima kiwe na chanzo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

So inamaana huyo Mungu alizuka tu pasipo uwepo wa chanzo kilicho mfanya awepo !?? Kama kwake yeye iliwezekana hivyo yaani akawepo bila uwepo wa chanzo chake kwanini ishindwe kuwezekana hivyo katika vitu vilivyopo duniani ambavyo mnadai kwamba uwepo wake ume sababishwa na Mungu ''

Yaani Kama mkitaka teuelwane hapa kwamba kanuni ya uwepo wa vitu au kitu fulani ili kiwepo Ni lazima kiwe na chanzo Cha aliye kiweka Basi yatupasa tukubaliane hapa kwamba Mungu nayeye ana Mungu wake aliye pelekea uwepo wa Huyo Mungu wenu kuepo ... Kama Mungu Hana aliye sababisha uwepo wake na Hilo linawezekana yeye kuwepo Basi simply tu hata hivi vilivyopo duniani vinawezekana kuwepo bila kuhitaji kuwekwa na yeyote yule full stop [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanza tunakubaliana hoja ya vitu kuwa na vyanzo au hatukubaliani?
 
Labda niwaambie ndugu zangu nyie wafia dini... Hainanishi kwamba sisi tuna chuki na nyinyi ila tunachojaribu ni kuwaonyesha jinsi ya kutumia fikra zenu kwa usahii..hata sisi tumezaliwa ktk familia za hizi dini kwa kurithishwa na sio kupewa nafasibya kufikiri kwa kina!!!

Nakumbuka kipind nasoma na hata sana hv iyo kitu ipo mawaidha mengi ya mashehe unakuta wanakwambia elimu dunia haifai..lkn ikifika mahala magonjwa yametokea!!! Dini zinakosa majibu...!!!

Nakumbuka kunasheikhe mmoja alikuwa anasema misiruhusu watoto wenu wakike waenda mavyuoni wanaharibaka wanamuhasi au siku nyingine tena shehe yule yule akawa anasema madokta wakikristo wanawavua wake zetu nguo wanawashikashika na nyie waislam mkaa kimya tu. Lkn seikhe huyu huyu alisahau kwamba alisema waumini wasikubali watoto waende shule wataharibikiwa...!!!

Dini zmefanya afrika tusiwe na maendele kwasbb ya upumbavu tunaamini kusoma ni ujinga na kuuasi Mungu lkn hapohapo tunataka maendeleo tunapataje maendeleo bila elimu?... juzi tena kuna yule mchungaji anakata watu wasiende shule wasome bibilia tu ili waende mbinguni tukikuuliza ww ulishawahi kwenda mbinguni jibu huna. Amkeni nyinyi wa afrika
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ona huyu mlokole hicho kitabu kina contradiction kibao unaanzaje kukiamini kitabu Kama hicho ...mpaka Sasa kimeshindwa kuthibitisha kuwa kinaijua sayansi Kama kilivyo sema but Still unakiamini

Ama kweli wewe Ni thumun bukumun umuyun [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha
 
Kwanza tunakubaliana hoja ya vitu kuwa na vyanzo au hatukubaliani?
Vitu ambavyo ni human made ambavyo ni artificial vina chanzo

Lakini hivi tulivyo vikuta havina chanzo

Kama havina chanzo vinadhihirisha kwamba Mungu hayupo

Kama vinachanzo vinathibisha kwamba Mungu na yeye ana chanzo chake yaani ana Mungu wake

So kwa upande wangu Mimi msimamo wangu Ni kwamba havina chanzo na Mungu hayupo ...

Haya leta hoja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siamini katika vyote Maana ukianza kunieleza kuhusu uwepo wa mazingira najua utajenga hoja kuwa hivyo vyote visit geweza kuwepo bila ya Uwepo wa Mungu

Na Mimi nitajenga hoja kuwa Kama ili kitu kiwepo Ni lazima awepo aliyekiumba au kukiunda Basi Huyo Mungu pia uwepo unasababishwa na aliye mfanya kuwa Mungu .... So siamini ktk chochote baina ya hivyo vitu viwili
Sas kilichoumbwa cha wezaje kuumba wakati aliekiumba hataki kiumbe. Chukua mfano mdog 2. Binadamu anatengeneza gari analiendesha ila gari halitengezi kitu mpaka aamue. Nd maan kuna computer ambayo kwa sehemu kubwa inaez perform baadhi ya operation kuunda k2.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Labda niwaambie ndugu zangu nyie wafia dini... Hainanishi kwamba sisi tuna chuki na nyinyi ila tunachojaribu ni kuwaonyesha jinsi ya kutumia fikra zenu kwa usahii..hata sisi tumezaliwa ktk familia za hizi dini kwa kurithishwa na sio kupewa nafasibya kufikiri kwa kina!!!

Nakumbuka kipind nasoma na hata sana hv iyo kitu ipo mawaidha mengi ya mashehe unakuta wanakwambia elimu dunia haifai..lkn ikifika mahala magonjwa yametokea!!! Dini zinakosa majibu...!!!

Nakumbuka kunasheikhe mmoja alikuwa anasema misiruhusu watoto wenu wakike waenda mavyuoni wanaharibaka wanamuhasi au siku nyingine tena shehe yule yule akawa anasema madokta wakikristo wanawavua wake zetu nguo wanawashikashika na nyie waislam mkaa kimya tu. Lkn seikhe huyu huyu alisahau kwamba alisema waumini wasikubali watoto waende shule wataharibikiwa...!!!

Dini zmefanya afrika tusiwe na maendele kwasbb ya upumbavu tunaamini kusoma ni ujinga na kuuasi Mungu lkn hapohapo tunataka maendeleo tunapataje maendeleo bila elimu?... juzi tena kuna yule mchungaji anakata watu wasiende shule wasome bibilia tu ili waende mbinguni tukikuuliza ww ulishawahi kwenda mbinguni jibu huna. Amkeni nyinyi wa afrika
Mimi nimeukubali uislamu nikiwa na umri wa miaka 15, kwa hio sifuati mkumbo. Na wala sijawaachia masheikh dini yangu, nimesoma na ni meutafuta ukweli.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mimi nimelelewa katika hiyo dini lakini nimekataa kuwa ndondocha wa kufikiri

Yaani imagine unaambiwa yunus sijui alimezwa na samaki halafu baada ya samaki kutembea kwa muda mrefu baharini akamtapika yunusi akiwa mzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Alipata wapi sehemu ya kuvuta hewa na lile joto la yule samaki tumboni jinsi lilivyo aliwezaje kutoka akiwa hai Jamani jamani acheni masihara mjue [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu dini inakutaka uamini tu huo upumbavu .... Aisee endeleeni kuamini wenyewe Mimi mniache
 
Back
Top Bottom