Sas mtu kama wewe kwa mawazo yasahivi utamlaumu Mungu kwa lipi? Na Mungu hawezi toa dawa kwa dunia nzima kwasababu kuna watu wana mawazo kama yako kujiona special mbele ya Mungu kuliko Mungu. Yani kati ya wewe na Mungu nani ana tatizo hapo? Si ushapewa protocol za kumtafuta.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inachekesha Sana kuona kwamba katika dini zenu mnafundishwa kwamba tumtegemee Mungu katika kila Jambo halafu pindi inapotokea matatizo makubwa Kama hili la Corona Huyo Mungu anabaki kuzubaa zubaa tu anawaacha watu wafe
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app