Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

 
Claire Moor, another Black student, was pushed down as she tried to board a train at Lviv’s train station. The guard insisted that only women could take the train. The officer looked away, Moor said, as she pointed out that she was, indeed, a woman. “I was shocked because I did not know the extent of the racism,” she added.
 

Waache unafiki wakati Libya sirya afaghanistani iraq zinavamiwa na kuuwa mamilioni ya watu wasio na hatia walikuwa wap,
 
Waache unafiki wakati Libya sirya afaghanistani iraq zinavamiwa na kuuwa mamilioni ya watu wasio na hatia walikuwa wap,

Tangu lini makosa mawili yakahalalisha moja?
 
Afrika siyo chochote kwenye siasa za dunia hii.
 
Kwanin usiongeze juhudi za kupambana na serikali zenu za kipuuzi za Afrika kuboresha mazingira mazuri ili raia wake wasikimbilie kwenye mataifa ya watu kupata huduma bora za kijamii.
 
Huo uchunguzi uliufanyia hapa hapa nyuma ya keyboard au ulizunguka duniani kote?
 
Serikali za Afrika zote ni wanafiki wapo nyuma ya nchi za Magharibi, lkn wananchi wa Afrika asilimia tisini wanaiunga mkono Urusi, natamani Urusi atangaze offer kwa wananchi wa Afrika kwenda kuipigana Ukraine wakiwa chini ya Urusi, naamini waafrika wengi sana watajitokeza kupambana na warusi kwa ajili ya kuondoa ubabe wa magharibi
 
Huo uchunguzi uliufanyia hapa hapa nyuma ya keyboard au ulizunguka duniani kote?

Huo uchunguzi uliufanyia hapa hapa nyuma ya keyboard au ulizunguka duniani kote?

Uchunguzi upi tena
Na kwanini uhisi tu kuwa niko hapo unapowaza wewe?
Kwa taarifa yako nimetembea sana dunia hii na nafikiri wewe ndio hujatoka nje ya nchi

Anyway Bojo amesema leo kuwa watapokea wakimbizi Laki 2 wa Ukraine na nyie wafungeni Ethiopians

Acheni dhulma wakimbizi hao ni ndugu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…