- Thread starter
- #61
Baada ya kukuona ulivyo Kenya:Kwaiyo nyie akili zimewarudi baada ya urusi kushambulia ukrein[emoji2960]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kukuona ulivyo Kenya:Kwaiyo nyie akili zimewarudi baada ya urusi kushambulia ukrein[emoji2960]
Ukweli mtupuSerikali za Afrika zote ni wanafiki wapo nyuma ya nchi za Magharibi, lkn wananchi wa Afrika asilimia tisini wanaiunga mkono Urusi, natamani Urusi atangaze offer kwa wananchi wa Afrika kwenda kuipigana Ukraine wakiwa chini ya Urusi, naamini waafrika wengi sana watajitokeza kupambana na warusi kwa ajili ya kuondoa ubabe wa magharibi
Marekani Alizitumia Hiroshima Na Nagasaki Putin Naye Akizitumia Ni Sawa Tu,
Serikali za Afrika zote ni wanafiki wapo nyuma ya nchi za Magharibi, lkn wananchi wa Afrika asilimia tisini wanaiunga mkono Urusi, natamani Urusi atangaze offer kwa wananchi wa Afrika kwenda kuipigana Ukraine wakiwa chini ya Urusi, naamini waafrika wengi sana watajitokeza kupambana na warusi kwa ajili ya kuondoa ubabe wa magharibi
Zisubirie hapo hapo Buza kwa Mpalange zitakufikia
Russia Kuna ubaguzi sana, ila Atleast serikali yao imesomesha Waafrika wengi Bure, hapa kwetu tu Angalia vichwa Vingapi vimesoma Urusi.Hv unaujua ubaguz wahuko russia ww, nikwamba wew mweusi hakuna akupendae tujijali wenyewe
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Mwafrika asipojiongezea thamani yeye mwenyewe atajikuta kokote anakoenda hapendwi.Russia Kuna ubaguzi sana, ila Atleast serikali yao imesomesha Waafrika wengi Bure, hapa kwetu tu Angalia vichwa Vingapi vimesoma Urusi.
Magharibi wana Elimu Nzuri ila mpaka uwe unajiweza ama upate sponsor ndio unagusa vyuo vyao.
Mwafrika asipojiongezea thamani yeye mwenyewe atajikuta kokote anakoenda hapendwi.
Ukiwacheki hao wanafunzi walioko Ukraine wa kiafrika wanaokimbia vita karibia wote wameenda huko kwa ufadhili wa nchi ya Ukraine. Pengine wangeenda huko kwa kujilipia na kuiingizia vyuo vya Ukraine fedha kama waarabu na wahindi wanavyofanya pengine wangefanyiwa ukarimu na askari wa border.
Ombaomba yeyote humu duniani hawezi kuwekwa kundi moja na kupewa thamani sawa na mtu anayejitosheleza!
Report zinaonesha wanajisomesha labda kama una source tofauti. Ukraine bado haijawa developed kama Nchi nyingi za Ulaya Na Ada si kubwa sana.Mwafrika asipojiongezea thamani yeye mwenyewe atajikuta kokote anakoenda hapendwi.
Ukiwacheki hao wanafunzi walioko Ukraine wa kiafrika wanaokimbia vita karibia wote wameenda huko kwa ufadhili wa nchi ya Ukraine. Pengine wangeenda huko kwa kujilipia na kuiingizia vyuo vya Ukraine fedha kama waarabu na wahindi wanavyofanya pengine wangefanyiwa ukarimu na askari wa border.
Ombaomba yeyote humu duniani hawezi kuwekwa kundi moja na kupewa thamani sawa na mtu anayejitosheleza!
Report zinaonesha wanajisomesha labda kama una source tofauti. Ukraine bado haijawa developed kama Nchi nyingi za Ulaya Na Ada si kubwa sana.
Na msitetee ubaguzi kwenye hii vita upo wazi wazi, na si kweli waarabu na wahindi wanaachiwa unless asijulikane wao pia wanabaguliwa.
Marekani Alitumia Hizo Hizo Hiroshima Na Nagasaki
By nature mzungu ni kiumbe mbaguzi, nadhani ni ile mifumo yao ya toka zama za kale ya ubwana na utwana.Report zinaonesha wanajisomesha labda kama una source tofauti. Ukraine bado haijawa developed kama Nchi nyingi za Ulaya Na Ada si kubwa sana.
Na msitetee ubaguzi kwenye hii vita upo wazi wazi, na si kweli waarabu na wahindi wanaachiwa unless asijulikane wao pia wanabaguliwa.
Zilifika kwenu kwa Mpalange?
Sasa wewe za russia zinakuhusu nini
Kuna tofauti kubwa kati ya mkimbizi na muhamiaji haramu, hao wa Ukraine ni wakimbizi lakini wa Ethiopia ni wahamihaji haramu na wengi wao wanapita kuelekea kusini mwa afrika. Kuna taratibu za kufata kama si mkimbizi, usipozifata utakamatwa na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Hata huko Ulaya tunaona na kusikia kila siku wanavyokamatwa wahiaji haramu.