Misimamo ya Waafrika na Vita vya Ukraine

Huo uchunguzi uliufanyia hapa hapa nyuma ya keyboard au ulizunguka duniani kote?

Kwani hata inahitaji uchunguzi?

Uliwahi kuyasikia majina haya:

Jiwe, Mugabe, Quarter Pin, PK, Mnangagwa, Sirro, Kingai, Mahita na wenzao?

Au kujitoa ufahamu tu?
 
Kwani hata inahitaji uchunguzi?

Uliwahi kuyasikia majina haya:

Jiwe, Mugabe, Quarter Pin, PK, Mnangagwa, Sirro, Kingai, Mahita na wenzao?

Au kujitoa ufahamu tu?

Huyu ni mmoja wa wale uhamiaji wanaowanyang’anya wakimbizi hela zao achana nae
 
Sawa kama wewe pekee ndiye umetembea nnje ya nchi na sisi wengine hatujawahi kuishi nnje ya nchi.
 
Huyu ni mmoja wa wale uhamiaji wanaowanyang’anya wakimbizi hela zao achana nae
Keyboard warrior bhana, yani wewe ndiwe uliyetembea nnje ya nchi pekeyako, pia ndiwe ujuaye kazi za wengine hapa JF, ni TZ pekee ambapo hupatikana vituko hivi [emoji2]
 
Keyboard warrior bhana, yani wewe ndiwe uliyetembea nnje ya nchi pekeyako, pia ndiwe ujuaye kazi za wengine hapa JF, ni TZ pekee ambapo hupatikana vituko hivi [emoji2]

Inaonekana wewe ni mtoto mdogo au kubwa jinga
Nani kakuambia nimetembea peke yangu humu mbona unakurupuka na kunilisha maneno

Kwanza kutembea kumeletwa na nini katika comment yangu
Na kama unanijaribu kutaka kujua kama nimetembea ndio nimetembea sana tena nchi 32 to be precisely

Ila ukweli utabaki hapo hapo na hao waethiopia uliowaibia hela zao wengi nawaona Park Royal na Uxbridge wakidunda sasa jiulize wamefikaje huku wakati uliwanyang’anya hela zote

Acheni dhulma na njaa zenu
 
Keyboard warrior bhana, yani wewe ndiwe uliyetembea nnje ya nchi pekeyako, pia ndiwe ujuaye kazi za wengine hapa JF, ni TZ pekee ambapo hupatikana vituko hivi [emoji2]

Hili neno keyboard warrior umejifunzia humu ama maana sioni mantiki yake na limetumika kwa vipi
Naona unajifunza maneno ila yatumie kwa wakati wake
Dogo inaonekana una aina ya ushamba na una shida mahali
 
Mmeiona misimamo ya nchi za Afrika kwenye azimio la UNGA?

Ni Eritrea pekeyake ndiyo iliyoiunga mkono Urusi. Wengine wamegoma kupiga kura, huku wengi wakisapoti azimio.

Wengine hawajiamini na misimamo yao! Maana wakiwa katika nchi zao, wanapinga uvamizi, lakini wakienda katika vikao vya jumuiya za kimataifa, wanapiga chenga!
 

Kuna mtu niliwahi kumsikia akisema "Mtu mweusi na roho yake nyeusi" hii imekaaje lakini?😁😁
 
Kuna mtu niliwahi kumsikia akisema "Mtu mweusi na roho yake nyeusi" hii imekaaje lakini?[emoji16][emoji16]

Hahahaaha inawezekana mkuu ila roho nyeusi ni kuonyesha tu kuwa ni ubaya wetu na roho mbaya
 
Russia watwangeni tu hao wa Ukraine [emoji4][emoji4] sisi africa tuna shida zetu kibao U. T. I , malaria, ukimwi na corona vinatutosha hatutaki stress zaidi sisi
 
Tangu mipolisi ya Ukraine ianze kuwabagua waafrika, nimebadili mawazo na kuhamia Russia... Putin piga hayo majamaa... Piga ua takataka hizo...
Hv unaujua ubaguz wahuko russia ww, nikwamba wew mweusi hakuna akupendae tujijali wenyewe

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 

Ngoja ma kina Interlacustrine E na mamburumundu myenzao yakenue kwanza. Kwani madhara ya lolote yanawahusu?

Hiiiiii bagosha!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mkimbizi na muhamiaji haramu, hao wa Ukraine ni wakimbizi lakini wa Ethiopia ni wahamihaji haramu na wengi wao wanapita kuelekea kusini mwa afrika. Kuna taratibu za kufata kama si mkimbizi, usipozifata utakamatwa na kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria za nchi husika. Hata huko Ulaya tunaona na kusikia kila siku wanavyokamatwa wahiaji haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…