Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Umeandika vizuri sana, ila nadhani ushawahi kusikia baadhi ya Waislamu wakilalamika kuwa wanadhurumiwa maslahi yao na kundi fulani lenye nguvu ya dhurma.Mimi sio" mwanaharakati wa kidini ",so sihitaji kusimamia" upande" wowote ule" but nime comment hapa kwa lengo la kukwambia kwamba", unapaswa ukae "chini" vyema "ujifunze kuhusu " democracy na propaganda zake" hayo makundi yote ya kigaidi uliyoyataja " Hakuna hata moja lenye mlengo wa kidini " kama" ambavyo "jamii inavyoaminishwa", hizo huwa ni propaganda tu" hata hao alqaeda ukifyatilia vyema waliifanya kazi ya kumsimika huyo kiongozi WA kidini madarakani"" kwa" kulipwa" donge" nono mnoooo na ulikuwa nimpango uliochagizwa na ISI" toka "Pakistan" inshort" hizi" dini zote huwa "zinatumiwa" kimaslahi na wanasiasa" ili" waweze kufanikisha" malengo "yao" hata hapa tz "hilo liliwahi" kufanyika' "na JK". alipokuwa anagombea", kwa awamu ya pili" aliibua hoja ya mahakama ya kadhi ili waislam waone kuwa anawajali ' kumbe" ilikuwa"" ni trick "ya kuwatumia "katika "sanduku "la" kupigia kura" na alifikia "hatua ''ya' kufanya hivyo "baada"" ya kuona" ameanza'" kupwaya kiushawishi kwa' viongozi" WA makanisa" IFIKE MAHALA TUJITAMBUE ", JAMANI"
Nyanja ya Elimu imewahi kulalamikiwa sana na baadhi ya Waislamu, kuwa wanafelishwa kwa makusudi ili kuwadhoofisha kijamii.
Maeneo mengine ni kama, ajira, Afya, Sheria ( hapa wakadai mahakama ya Kadhi ighalimiwe na serikali ili ilinde maslahi yao) nk.
Baadhi ya makundi ya Kigaidi yamejibainisha wazi kuwa ni Jeshi la kutetea maslahi ya waislamu, hapa sio makundi yote ni baadhi kama Boko haram, na Al-Shabab.
Boko haram kwa mfano, maana yake ni, Utamaduni wa Kimagharibi ni Haramu, Utamaduni wa Kimagharibi unajumuisha Dini ya Kikristo ambayo nayo ni Haramu kwao wao.
Uhalali ni Utamadini wa Mashariki ya kati unaojumuisha Dini ya Kiislamu.
Hivyo asiye Muislamu kwa mtazamo wao ni mtu Haramu.
Ndio maana nikasema kuna baadhi ya makundi ya Kigaidi yameibuka ili kutetea Uislamu kwa hali na mali ili usimezwe na utamaduni wa Kimagharibi.