Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina.

Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa pili sasa.

Watu wazima kwa watoto ,Wanawake kwa wanaume.Waliokuwa matajiri na maskini wanagombea chakula kama watoto ambacho wala si chakula chenye kujenga siha

1747062442511.png

Hamas ni chama Cha kisiasa ambacho kilianziaga Misri. Walipofukuzwa ndo baadhi wakajiita Janjaweed wakashuka Hadi maeneo ya Sudan na wengine wakaenda Gaza. Misri bado anawaona Hamas kama tishio la kiusalama. Jordan mifumo Yao ya kisiasa haikubali concentrated Islamic radicalism. Ila yote Tisa,kumi, Misri na Jordan wote ni marafiki wa Marekani na wategemezi wake.
 
Usikilizwe una hoja
 
Mwambie palestina walipewaga hifadhi na Jordan kilichotokea Jordan hatasahu nusu kina Arrafat waichukue Jordan
 
Usikilizwe una hoja
😂😂😂😂 Asante bro. Umenichekesha sana na hii comment fupi. Nimeishi Lebanon Kwa muda mrefu sasa. Hizi siasa na vurugu za mashariki ya kati,yanachangiwa sana na matukio ya kiimani na kihistoria ndio maana kuyatatua ni ngumu mno. Bahati nzuri nimesoma katiba ya Jordani , inakipengele Cha makabila yake na mipaka. Nitatupa kipengele kimoja humu uone maajabu yake kuhusu mipaka na makabila yake.
 
Nasubiri hicho kipengele
 
Kwanini wasiachie maiti ya mtanzania?? Mpaka watakapo achia ndio wapewe chakula yule mama wa kitanzania bado hajafuta machozi yake............watapata tabu sana hao pumbavu wao na vizazi vyao...........si wanajua kuteka watu na kuua kwa kisingizio kwamba wanaonewa.................wapigwe wafe na ikibidi waisrael wabebe na futa kwenda kuwasindikiza vizuri kwa mabikra 72
 
Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina.
Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa pili sasa.
Watu wazima kwa watoto ,Wanawake kwa wanaume.Waliokuwa matajiri na maskini wanagombea chakula kama watoto ambacho wala si chakula chenye kujenga siha

Kwanini usiwaambie hamas wawaachie mateka watu wasife na njaa.
 
Gaza ipo nchi gani? Wana dola? Umoja wa mataifa unaitambua kama nchi? If yes then you have a point, if no then how can another country interfere some internal issues of another country?
 
Hamas, Hezibollah na Houthis, wote ni makundi ya kigaidi ya Iran ambayo ni tishio kwa usalama wa Serikali za nchi zote za kiarabu zinazoongozwa na wasuni.

Hayo mataifa ya kiarabu yanaishukuru sana Israel kwa kuyaangamiza makumdi haya ya kigaidi yaliyo hatari kwao. Ndiyo maana, makumdi haya yanapotwangwa na Israel, Serikali husika ndiyo hutoa taarifa za kiintelijensia.

Huko Gaza, wa kuwaonea huruma ni watoto, kwa sababu hawana maamuzi. Lakini hao Hamas na zaidi ya 75% ya wakazi wa Gaza wanaowaunga mkono hao magaidi wa Hamas ambao ni maadui wa Serikali ya wapalestina ambayo ina makao makuu yake mjini Ramallah, West Bank, wanapokea malipo ya matendo yao. Tena serikali ya wapalestina watakuwa wanafurahia kuangamizwa hilo kundi la kigaidi lililojigeuza kuwa chama cha siada.
 
Mkiona kuna nchi za Kiislamu zinaishi kwa amani huwa hamridhiki kabisa. Kwanini usimuambie Rais wako awalazimishe hao Israel wafungue mipaka?

Unataka kikinuka waumie watoto wa Jordan na Egypt na sio wako wa Kiluvya hapo?
Kiubinadamu hakuna amani ya peke yako na huwezi kuacha jirani yako anateseka kwa lolote lile ili tu wewe uishi kwa amani.
 
Back
Top Bottom