Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

Misri na Jordan zinashindwa vipi kuilazimisha Israel ifungue mpaka watu wapate chakula ili wasife

Inakuwa rahisi sana kumpeleka punda mtoni ili anywe maji. Lakini ni ngumu san sana kumfanya huyo punda anywe maji. Unasemaje kwamba hawana matatizo na waTanzania ilhali walimwua mtanzania licha ya yule kijana mTz. kujitambulisha, kuwaomba na kuwasihi kwamba hahusiki lakini bado walimwua.
Vyakula vimekwamishwa na HAMAS kwa kutotekeleza Sharti la kuwaachia mateka wa Israeli. Wananchi wa Gaza wafike mahali wailazimishe HAMAS iachie hao mateka vinginevyo nao wananchi wanaumia pia. Wananchi inatakiwa waoneshe kutokuikubali hali waliyonayo ya ukosefu na upungufu wa chakula inayosababishwa na hao Magaidi kuendelea kuwashikilia mateka.. Wananchi waitake HAMAS iwape chakula. Tofauti na hapo waikatae HAMAS hata kama itabidi wajitoe sadaka kubwa kwa sababu usipokubaliana na siasa na imani za HAMAS unatekwa, unateswa na hatimaye kuuawa. Wananchi wajitoe mhanga kufa kwa risasi za HAMAS kuliko kufa kwa njaa wakati chakula kinaozea hapo mpakani.
Wapo wachache sana Gaza ambao wanaogopa kufa ili wawe watu dhalili mbele ya mayahudi au wanaochagua chakula kwa kuzuia heshima yao.
Chakula ni wajibu wakipate na kupelekewa kwa vile wamezuiwa kulima lakini sio ni mtego wa kushinda azma yao ya kujikomboa na kukomboa ardhi zao.Wamechagua kama ni kufa wafe au kushindwa washindwe japo hili halitafikia huo,lakini watakaobaki waishi kwa utu kamili.
 
Misri na Jordan ni makoloni ya Marekani na Israel Kila kinachofanyika misri na Jordan lazima kipewe Baraka na Israel mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi na viongozi unaratibiwa na Israel ,Rais wa kidemokrasia Morsi alipnduliwa kwasababu alionekana atakuwa tishio Kwa Israel
 
Kama wamejikita kwenye maamuzi hayo; basi waache kulia lia hapa wakomae na jambo lao. Kulia lia hakutawasaidia kitu bali wawaachie mateka.
 
Kama wamejikita kwenye maamuzi hayo; basi waache kulia lia hapa wakomae na jambo lao. Kulia lia hakutawasaidia kitu bali wawaachie mateka.
Kwa sasa mateka si jambo muhimu tena kwa Israel kuliko malengo waliyojiwekea na Trump.
Hamas wasijisumbue kuachia mateka watakufa bila faida yoyote.
 
Machafuko huanui wew pimbi ukandamizaji ukizidi huwa kunalipuka tu kwa hiyo usione watu wametulia ukafikri kuna amani ni kuvumiliana tu
 
Hao Israel unawajua au unawasikia? Kafungue ww
 
Kwa sasa mateka si jambo muhimu tena kwa Israel kuliko malengo waliyojiwekea na Trump.
Hamas wasijisumbue kuachia mateka watakufa bila faida yoyote.
Kwani hao waheshimiwa walijiwekea malengo gani mkuu?
 
Misri na Jordan ni makoloni ya Marekani na Israel Kila kinachofanyika misri na Jordan lazima kipewe Baraka na Israel mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi na viongozi unaratibiwa na Israel ,Rais wa kidemokrasia Morsi alipnduliwa kwasababu alionekana atakuwa tishio Kwa Israel
Pamoja na hayo, hata kama ni makoloni, lakini huoni Raia wanaishi kwa Utulivu na Amani? Subra yavuta kheri. Iko siku inakuja hilo neno unalilisema ni "Ukoloni", Raia watalisoma tu kwenye historia kwani litakuwa halipo tena katika uhalisia wake.
 
Hawana tatizo na watanzania kama ambavyo watu wa mataifa yote mengine ukiwaachia Marekani wameshawatoa zamani.
Yaliyompata mtanzania waulize akina Netanyahu watakuwa na majibu mazuri.Kama ni chakula basi mwambie tu mama Samia awapelekee kama ana uhakika kitafika kwani vyakula vya mataifa yote duniani vipo mpakani na vingi vimeshaanza kuharibika.
Egypt si inapakana na Gaza?
 
Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina.

Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa pili sasa.

Watu wazima kwa watoto ,Wanawake kwa wanaume.Waliokuwa matajiri na maskini wanagombea chakula kama watoto ambacho wala si chakula chenye kujenga siha

Screenshot_20250414_225142.jpg
 
Kwani hao waheshimiwa walijiwekea malengo gani mkuu?
Trump na Netanyahu Gaza wanaita seafront wanaona panafaa kutumika kama sehemu ya wahuni kuja kwenye makasino.Na inawezekana wameona kuna mengine mengi wanataka wafanye ambayo hawajayatangaza.
Malengo hayo waliyafanyia juhudi na hadaa zamani japo walishindwa kuwashawishi vibaraka wao wawahamishie wapalestina.
 
Sasa kama mtu anayakataa mapendekezo yako kwake, manake amekuona ww huna akili na amelipuuzia pendekezo lako. Hapo kwa akili ya kawaida si utamwacha ili alinywe kama alivyoligema?? Sasa HAMAS wanalinywa kama walivyoligema.
Na mwenzake naye analinywa kidogo kidogo pamoja naye.
Kama halinywi japo kidogo angekaa tu akatulia.
 
Trump na Netanyahu Gaza wanaita seafront wanaona panafaa kutumika kama sehemu ya wahuni kuja kwenye makasino.Na inawezekana wameona kuna mengine mengi wanataka wafanye ambayo hawajayatangaza.
Malengo hayo waliyafanyia juhudi na hadaa zamani japo walishindwa kuwashawishi vibaraka wao wawahamishie wapalestina.
Je, walijiwekea Utimilifu (Tarehe) ya mwisho ya kuwa Malengo yawe yamekamilika na kufanya Tathmini itakuwa ni lini? Ukizingatia Kila Mpango au Mradi (Project) huwa kuna tarehe ya kuanza Utekelezaji na Tarehe ya Kukamilika kwa Mradi.
 
Hamas wametoa wito kwa mara nyengine jumuiya ya kimataifa iingilie kati ili watu wa Gaza wapate chakula na maji.
 
Je, walijiwekea Utimilifu (Tarehe) ya mwisho ya kuwa Malengo yawe yamekamilika na kufanya Tathmini itakuwa ni lini? Ukizingatia Kila Mpango au Mradi (Project) huwa kuna tarehe ya kuanza Utekelezaji na Tarehe ya Kukamilika kwa Mradi.
Hata ukijiwekea tarehe kuna vitu vinaweza vikakuzuia kwenda kama ulivyopanga.
Angalia Israel haikutarajia kabisa kuwa ingepigana Gaza kusikokuwa na jeshi rasmi kwa muda wa miaka 2 .
 
Hata ukijiwekea tarehe kuna vitu vinaweza vikakuzuia kwenda kama ulivyopanga.
Angalia Israel haikutarajia kabisa kuwa ingepigana Gaza kusikokuwa na jeshi rasmi kwa muda wa miaka 2 .
Ni kweli. Katika Mpango wowote ule, huwa kuna kitu chaweza kujitokeza na kuathiri Muda wa kukamilika kwa Mradi.
 
Back
Top Bottom