Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Waarabu wanabaguana wao kwa wao na ni suna kwenye uislamu. Ukifika dubai Muislamu wa UAE; Kuwait, Bangladesh, Saudia na Pakinstani wana madaraja tofauti ndugu yangu. Hata kazi kuna kazi hawatakiwi kupewa watu daraja la chini. Na kuna kazi hawatakiwi kufanya watu wa daraja la juu. Mafuta ya dunia nzima yanatoka Saudia lakini bado wapalestina wanashindwa kumpiga Israel toka 1947. Halafu nashangaa bado watu wanakesha na kuswali swala tano aisee.Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina.
Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa pili sasa.
Watu wazima kwa watoto ,Wanawake kwa wanaume.Waliokuwa matajiri na maskini wanagombea chakula kama watoto ambacho wala si chakula chenye kujenga siha