Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
- Thread starter
- #21
Hawana tatizo na watanzania kama ambavyo watu wa mataifa yote mengine ukiwaachia Marekani wameshawatoa zamani.Kwanini wasiachie maiti ya mtanzania?? Mpaka watakapo achia ndio wapewe chakula yule mama wa kitanzania bado hajafuta machozi yake............watapata tabu sana hao pumbavu wao na vizazi vyao...........si wanajua kuteka watu na kuua kwa kisingizio kwamba wanaonewa.................wapigwe wafe na ikibidi waisrael wabebe na futa kwenda kuwasindikiza vizuri kwa mabikra 72
Yaliyompata mtanzania waulize akina Netanyahu watakuwa na majibu mazuri.Kama ni chakula basi mwambie tu mama Samia awapelekee kama ana uhakika kitafika kwani vyakula vya mataifa yote duniani vipo mpakani na vingi vimeshaanza kuharibika.