Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Ukifungua mipaka kiholela unapitisha hadi magaidi. Misri analijua hilo. Kumbuka HAMAS waliwahi kuwasaidia wanamgambo wa Misri wakaisumbua Misri sana hapa siku za nyuma. Hawatafanya hayo matani kirahisi.Kwa nini Misri isifungue mpaka wake na gaza na irihusu wakimbizi kutoka gaza kwenda Misri?
Misri ni wanafiki, kama wanawapemda waarabu wenzao wafungue mipaka wakimbizi wakimbilie kwao. Misri haitaki kabisa kufungua mipaka kusaidia watu wa Gaza.
Misiri ni mnafiki pia kwa sababu alikua anajua Gaza wanapanga shambulio kubwa dhidi ya Israel, akaenda kuwaambia Israel sema Israel wakapuuza hiyo taarifa ya Misri na yakatokea ya kutokea.
Sasa kama huo sio unafiki ni nini?