Misri yaiomba Israel iachie nafasi ya misaada kutoka Uarabuni kuwafikia Wapalestina

Ukifungua mipaka kiholela unapitisha hadi magaidi. Misri analijua hilo. Kumbuka HAMAS waliwahi kuwasaidia wanamgambo wa Misri wakaisumbua Misri sana hapa siku za nyuma. Hawatafanya hayo matani kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…