Acha kushoboka, hawawezi kupigana na Ethiopia Sudan Kenya Tanzania Rwanda na Uganda NEVER! Na sasa South Sudan inataka kujenga HydroDams mbili kwenye Mto Nile.Mkuu wanatutwanga wale jamaa.
Egypt ni taifa kubwa kijeshi, kiuchumi hata kiteknolojia.
Hadi wamerusha satellite si mara moja, walishaingia kwenye migogoro ya kidunia huko mashariki ya kati utalinganisha na sisi.
Mbona nyie hamna ubunifu wa kutumia maji ya mvua na mito iliyojaa kila kona?Miaka zaidi ya 5000 imepita wajukuu wao hawana ubunifu mpya mzee wanalilia maji hayohayo
Waje tu.......mbona wamatumbi tunawatamani......mtu anatandikwa hata kwa tunguli tuEgypt inaona hizi nchi za ukanda huu wa EA kama pimbi tu.
Ndipo tutambue tunadharaulika mno, Egypt inaweza kutwanga hii EA yote.
Keshaanza kumtumia Somalia kumchokonoa Ethiopia........wakumbuke tu Ethiopia hata mzungu mwenyewe alimshindwa sembuse mwarabu, watachakazwa washangaeAcha kushoboka hawawezi kupigana na Ethiopia Sudan Kenya Tanzania Rwanda na Uganda NEVER! Na sasa South Sudan inataka kujenga HydroDams mbili kwenye Mto Nile.
Na akisema atengeneze Proxy kwenye Nchi zetu sio kwamba Abdelfatah Sisi anapendwa na Wananchi wa Misri kwa sababu ni Dikteta na sisi tutawapiga tafu wale aliowapindua kutoka Madarakani.
Serikali ya Mkoloni wa Kiingereza ilikuwa ni Racist ilikuwa inatudharau Watu weusi.Makubaliano ya kikoloni hayana nafasi baada ya uhuru wa Nchi zetu
Hawa sio mafarao ,ni wahamiaji tu ndo maana ni vilaza sio kama wamisri wa asili hapoWaache ushamba, hadi leo zama za technolojia mnategemea vimaji vya mto tena unaotoka maelfu ya Kilometer.
Wanatakiwa wawe wabunifu kutafuta vyanzo vya ziada. Mbona mafarao walikuwa na akili nyingi sana
Tutumie maji ya mvua Kwa gharama kubwa wakati mito na maziwa yapo bwerere?Mbona nyie hamna ubunifu wa kutumia maji ya mvua na mito iliyojaa kila kona?
Kwa nini Dar es Salaam ina shida ya maji na imezungukwa na vyanzo maji pamoja na mvua??
Umoja wetu huwa ni wa kutia mashaka, umoja wa kinafiki.Acha kushoboka hawawezi kupigana na Ethiopia Sudan Kenya Tanzania Rwanda na Uganda NEVER! Na sasa South Sudan inataka kujenga HydroDams mbili kwenye Mto Nile.
Na akisema atengeneze Proxy kwenye Nchi zetu sio kwamba Abdelfatah Sisi anapendwa na Wananchi wa Misri kwa sababu ni Dikteta na sisi tutawapiga tafu wale aliowapindua kutoka Madarakani.
Sisi tunashida ya kuwa na rqsilimali nyingi kuliko uwezo wa kuzifanya zitusaidie. Sisi sio mfano bora wa kuigwa.Mbona nyie hamna ubunifu wa kutumia maji ya mvua na mito iliyojaa kila kona?
Kwa nini Dar es Salaam ina shida ya maji na imezungukwa na vyanzo maji pamoja na mvua??
Amepata huo upenyo baada ya Ethiopia kununua Bandari ya Jimbo hasimu linalotaka kujitenga kutoka Somalia yaani Somaliland.Keshaanza kumtumia Somalia kumchokonoa Ethiopia........wakumbuke tu Ethiopia hata mzungu mwenyewe alimshindwa sembuse mwarabu, watachakazwa washangae
Yeye si katangaza kifo Mkuu.Mtapigwa muanze kuomba msaada...
Egypt ni super power kikanda kwa huku Africa...
Lazima tumsikilize mkubwa, we si unaona wenzako Ukraine wanapata dhahama..
Kaburu enzi zile alikua kaendelea kijeshi kama nchi za Ulaya ila alitulizwa na Nyerere Taifa changa kabisa,,,,......na akili hamna wenyewe na wazee wenu sio kila mtu yupo kwenye hilo kundi lenuUmoja wetu huwa ni wa kutia mashaka, umoja wa kinafiki.
Congo hio hapo imetushinda kila mmoja na yake, hatuna kauli moja.
Sote tumeshuhudia US alivyokuwa na umoja na nchi zote za NATO na kwa pamoja kumsaidia Ukraine.
Hivyo huku hatuwezi.
Ndio maana nakuambia tutaoigwa tuchakae, siasa zetu huku ni kila mmoja kujali tumbo lake.
Gaddafi kapigwa na EU nani kaingilia ?
Hii Africa ndio maana Morocco wakitukana tunaona kubaguliwa lakini ni kweli akili hatuna.
Ndio maana Egypt inaongea kwa jeuri na kujiamini, hawajaongea kwa kauli ya kistaarabu na kukaa mezani, wametoa kauli ya dharau na kitisho...
Cause wanatufahamu.
Ethiopia alishasema atapata bandari kwa njia yeyote ile iwe kwa amani au kufosi ...kwahio alishajiandaa mapemaAmepata huo upenyo baada ya Ethiopia kununua Bandari ya Jimbo hasimu linalotaka kujitenga kutoka Somalia yaani Somaliland.
Egypt na Turkiye ndio wanampa kiburi Somalia.
So Ethiopia anaweza acha hiyo ishu akajikita kujihami na Egypt
Hatuna huo uwezo kukabiliana na Egypt, wana missiles za masafa, Egypt yupo kwenye migogoro ya kikanda na nchi kama Israel, Syria n.k hatuwezi battle..Waje tu.......mbona wamatumbi tunawatamani......mtu anatandikwa hata kwa tunguli tu
Nchi 6 kwa huyo mwarabu mbona mchumba tu......Libya alimsaidia Idi Amin na akatulizwa,,,,sema imagination zenu za vita zimeathiriwa sana na muvi za HollywoodHatuna huo uwezo kukabiliana na Egypt, wana missiles za masafa, Egypt yupo kwenye migogoro ya kikanda na nchi kama Israel, Syria n.k hatuwezi battle..
Tuendelee kula ugali na sukuma wiki pembeni pilipili.
Mwanza hadi Misri ni zaidi ya km 4,000, mtaanza kufa nyie mliosaini huo mkataba.Yeye si katangaza kifo Mkuu.
Nasi tunapiga mkwara kwamba siku akiingia tu huku basi hayo maji yatakuwa na kemikali yenye kua watu na mimea kwa mwaka mzima.
Aje kwa adabu tukae mezani.
Sasa baada ya hao wababe kuingia hana tena hiyo jeuri.Ethiopia alishasema atapata bandari kwa njia yeyote ile iwe kwa amani au kufosi ...kwahio alishajiandaa mapema
Alipewa na nani!?Kisheria Egypt anawashinda maana ndio alipewa umiliki pamoja na sudan
Wewe ndio huna,maji tutatumia, Ethiopia imetumia na hakuma kitu amefanya licha ya mikwara ya kulipua bwawa.Hatuna huo uwezo kukabiliana na Egypt, wana missiles za masafa, Egypt yupo kwenye migogoro ya kikanda na nchi kama Israel, Syria n.k hatuwezi battle..
Tuendelee kula ugali na sukuma wiki pembeni pilipili.
Tutaanzaje kufa mkuu?Mwanza hadi Misri ni zaidi ya km 4,000, mtaanza kufa nyie mliosaini huo mkataba.