Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Hehe kwani kaburu alichakazwa tukiwa na matundu ya choo mangapi......huyo Gadaffi aliweka pua yake hapo Uganda tukiwa na matundu ya choo mangapi ?? Mbona kwa sasa tuna matundu ya choo mengi kuliko wakati ule halafu tutishike na mwarabu???
Nyie bakini enzi za wakina tiptip kama zinawafariji kwa hali zenu
 
Egypt pia bado wanatumia vyoo vya matundu tembea uone.
Ka nchi kenyewe kameendelea zile sehem zenye mto tu ukitoa hapo hamna kitu......kwahio alete shobo ,,,,huhangaiki kupiga makombora sehem kuubwa we unafata tu ule mto umemaliza kila kitu.......
 
Ka nchi kenyewe kameendelea zile sehem zenye mto tu ukitoa hapo hamna kitu......kwahio alete shobo ,,,,huhangaiki kupiga makombora sehem kuubwa we unafata tu ule mto umemaliza kila kitu.......
Wamisri wengi Wakulima wanaitwa Falahiin ni masikini wa kutupwa wengi hujisaidia Mtoni Nile.
 
Kenya ina jeshi gani la anga la maana hata la kitisha Tz?
Ungekuwa unaongelea vita ya ardhini ningekuelewa lakini kwa upande wa jeshi la anga hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara yenye jeshi la maana la anga Misri ina jeshi kubwa la anga kuzizidi hata Uturuki na Israel.
 
Anapiga domo tu.... Ethiopia wanajaza bwana hakuna kitu amefanya
 
Wamisri wengi Wakulima wanaitwa Falahiin ni masikini wa kutupwa wengi hujisaidia Mtoni Nile.
Hata India kuna raia wanajisaidia mitaroni masikini wakutupwa, lakini si nchi ya kushindana nao kijeshi, kiuchumi na kila kitu.
 
Wanatukana wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo
Politically Egypt haiko Stable na sasa nasikia inauchochea Mgogoro wa Ethopia ngoja kidogo tu. Unaweza kuona Rebel group ndani ya Misri.
 
Mzee Lowasa ndio alikua Mtanzania wa kwanza kumsikia akiupinga huo mkataba na baadae wakatumia maji ya ziwa Victoria kusambaza huko Shinyanga sijui kama bado wanaendelea na ile mambo au wapo na Mkoloni maji yapo Tanzania harafu tunaambiwa tusitumie hata kunywa si upuuzi huo..
 
Misri hana Resources za kuleta Wanajeshi na Vifaru kwenye Pwani yetu juzi juzi amewasaidia silaha Somalia na karibia zote zimetekwa na Magaidi ya Alshababu ikiwemo Helicopter.
Misri hawezi kuleta wanajeshi wa ardhi kwa sababu hana shida na ardhi ya nchi yeyote ile atakacho kufanya ni kuwapiga kutoka angani ili wengine waufyate.
 
Hata India kuna raia wanajisaidia mitaroni masikini wakutupwa, lakini si nchi ya kushindana nao kijeshi, kiuchumi na kila kitu.
Wewe ndio umrleta Story ya vyoo vyetu vya matundu India imepigana Vita na jirani yake na ikaonyesha uwezo katika Battlefield.

Misri na Nchi za Waarabu wenzake zilishindwa vibaya sana na Israel ni Vita gani Misri iliwahi kushinda?!

Sisi Tanzania tulishinda Vita vya Uganda na kuteka Askari wengi wa Kiarabu kutoka Libya.
 
Waache ushamba, hadi leo zama za technolojia mnategemea vimaji vya mto tena unaotoka maelfu ya Kilometer.
Wanatakiwa wawe wabunifu kutafuta vyanzo vya ziada. Mbona mafarao walikuwa na akili nyingi sana
muwe mnajifunza. mafarao hawakua waarabu. waarabu ni wavamizi/wahamiaji Kaskazini ya Afrika.
 
Misri hawezi kuleta wanajeshi wa ardhi kwa sababu hana shida na ardhi ya nchi yeyote ile atakacho kufanya ni kuwapiga kutoka angani ili wengine waufyate.
Hawezi hana huo uwezo angelikuwa na huo uwezo angeigia Tel Aviv siku nyingi sana.
 
Egypt ni miongoni mwa nchi 15 duniani zenye air force bora kabisa, kwa middle east anazidi nchi zote kwa air force ikiwemo Israel.

Egypt mwaka huu 2024 ni nchi ya 15 kwa nguvu za kijeshi duniani.

Egypt wana helicopter carriers , wana F16s za kutosha , Mig 29s, Rafale, alpha jets n.k na air bases zipatazo 20...

Waache wajidanganye eti mtu anakuambia Ethiopia...

Wana viwanda kuzalisha missiles, anti tank... N.k

Sio poa... Hao sio levels zetu, level za nchi kubwa za Nato.

Wakisema wanatutwanga ni mwezi tu.
 
Haitakubali nchi wenzake nao watumie kama wanavyoyatumia wao!
Hapa inamaanisha walikalilishwa kwamba Maji ni ya Kwa? Yaani wenyewe ndio wenye mamlaka ya kuyadhibiti?
Kimsingi wao so wameshikikia majani na mizizi iko kwingine? Au mimi ndio nakosea labda MTO NILE unatiririka kutoka EGYPTY?
Au yenyewe ndio kiranja Mkuu wa mipango na matumizi?
 
6day war mmisri alikua na jeshi la anga kubwa na zuri kuliko hata anaepambana nae ila alichofanyiwa hadi leo anaogopa kuingilia gaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…