Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Hii ni uthibitisho kuwa nature haielewi mambo ya mipaka na in future kama binadamu anataka dunia iwe sehemu salama mambo ya mipaka ni ya kufikiria kuachana nayo. Dunia iwe kijiji kimoja chini ya utawala mmoja.
 
Misri hawezi kuleta wanajeshi wa ardhi kwa sababu hana shida na ardhi ya nchi yeyote ile atakacho kufanya ni kuwapiga kutoka angani ili wengine waufyate.
Hata uwe na jeshi la anga zuri vipi, kushinda vita lazima ushuke ardhini,,,na kwa umbali alionao lazima atatengeneze proxies au atumie magaidi ardhini, kitu ambacho hata maadui zake wanaweza kufanya,,ukiangalia ile nchi mda wowote wao kwa wao wanaweza kutibuana
 
Waache ushamba, hadi leo zama za technolojia mnategemea vimaji vya mto tena unaotoka maelfu ya Kilometer.
Wanatakiwa wawe wabunifu kutafuta vyanzo vya ziada. Mbona mafarao walikuwa na akili nyingi sana
Ukiwa mbunifu na kupata kitu kipya ndio uachane na kutunza cha zamani? Sidhani. Misri wapo sahihi kukomaa na sisi but pia tujilaumu na sisi kua legelege. Yaani maji yapo kwetu, labda sisi Tanzania hatupitiwi na mto Nile but ziwa Victoria lipo kwetu; imagine hadi mwaka 2000 eti ndio tukaanza ku source maji ya kunywa from ziwa Victoria; very interesting. Ichukulie nchi kama Kenya, ipo tayari kuathiri maisha ya watu wao just kwa usariti tu, stupid. Ungekua wewe ndio rais wa Misri sioni kama ungefanya tofauti na alicho kifanya Al Sis. Watu wako kwanza, na kama kuna mafala wapo somewhere unaweza kuzurumu mali zao kwa ajili ya watu wako, you could do the same.
 
Basi tuondoe na mipaka ya nchi ili kila mtu atanue kuelekea kwa mnyonge wake.
Ile Mikataba iliyofanywa kabla ya Nchi zetu kupata Uhuru mingi ilifanywa bila ya RIDHAA zetu na haikuwa Fair kwahiyo kuifuta na kuibadilisha ni sahihi.
 
6day war mmisri alikua na jeshi la anga kubwa na zuri kuliko hata anaepambana nae ila alichofanyiwa hadi leo anaogopa kuingilia gaza
6 days war US alisambaza vifaa vingi sana kijeshi kwenda Israel kwa siri baadae ikajulikana.

Kingine Egypt ilifeli kistratejia, Israel alipiga running ways, Kama US walivyofeli mission yao Somalia.

Lakini Egypt ni tishio si mchezo, usifikiri hizi nchi zenu siasa za nani kama mama mtaweza battle, mtapigwa makalio yabaki wazi.
 
Nchi 6 kwa huyo mwarabu mbona mchumba tu......Libya alimsaidia Idi Amin na akatulizwa,,,,sema imagination zenu za vita zimeathiriwa sana na muvi za Hollywood
Ata nyie kama sio urusi unafkl mngemchomoa Amini pale Uganda.
 
Pumbavu hawa kutuweza kwenye mpira wanazani na huku wataeza ,
Nashauri jwtz ikapanue huo mto upande wetu maji yaje kwa wing
 
Zile ndege zilizopigwa nyumbani kwake zilikua zimesambazwa kwenye kichaka gani.......vita sio ngonjera akitaka aanzishe tu
 
6 days war US alisambaza vifaa vingi sana kijeshi kwenda Israel kwa siri baadae ikajulikana.
US haikutuma Askari kwenda kuisaidia Israel bali ilikuwa ikisaidia kwa Intelligence.

Hata Walibya waliokuja kumsaidia Iddi Amini tuliwateka kama Kuku ondoeni Hofu hawa mbona ni Wachumba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…