Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nyie mlishindwa kuingia vita ya kimbali 1990s kusaidia kuondoa machafuko?Hawezi hana huo uwezo angelikuwa na huo uwezo angeigia Tel Aviv suku nyingi sana.
Hata uwe na jeshi la anga zuri vipi, kushinda vita lazima ushuke ardhini,,,na kwa umbali alionao lazima atatengeneze proxies au atumie magaidi ardhini, kitu ambacho hata maadui zake wanaweza kufanya,,ukiangalia ile nchi mda wowote wao kwa wao wanaweza kutibuanaMisri hawezi kuleta wanajeshi wa ardhi kwa sababu hana shida na ardhi ya nchi yeyote ile atakacho kufanya ni kuwapiga kutoka angani ili wengine waufyate.
Ila nani anatawala kwa sasa kwenye nchi za ukanda huo?Mbona nyie mlishindwa kuingia vita ya kimbali 1990s kusaidia kuondoa machafuko?
Hapana hutaki au unashangaa?!!!Eeh..hiyo hapana
Ukiwa mbunifu na kupata kitu kipya ndio uachane na kutunza cha zamani? Sidhani. Misri wapo sahihi kukomaa na sisi but pia tujilaumu na sisi kua legelege. Yaani maji yapo kwetu, labda sisi Tanzania hatupitiwi na mto Nile but ziwa Victoria lipo kwetu; imagine hadi mwaka 2000 eti ndio tukaanza ku source maji ya kunywa from ziwa Victoria; very interesting. Ichukulie nchi kama Kenya, ipo tayari kuathiri maisha ya watu wao just kwa usariti tu, stupid. Ungekua wewe ndio rais wa Misri sioni kama ungefanya tofauti na alicho kifanya Al Sis. Watu wako kwanza, na kama kuna mafala wapo somewhere unaweza kuzurumu mali zao kwa ajili ya watu wako, you could do the same.Waache ushamba, hadi leo zama za technolojia mnategemea vimaji vya mto tena unaotoka maelfu ya Kilometer.
Wanatakiwa wawe wabunifu kutafuta vyanzo vya ziada. Mbona mafarao walikuwa na akili nyingi sana
Kwakweli hapo tulifanya makosa makubwa sana, na nafikiri tungeingia ni lazima tungeegemea upanda wa Wahutu kama tunavyofanya huko DRC.Mbona nyie mlishindwa kuingia vita ya kimbali 1990s kusaidia kuondoa machafuko?
Basi tuondoe na mipaka ya nchi ili kila mtu atanue kuelekea kwa mnyonge wake.Makubaliano ya kikoloni hayana nafasi baada ya uhuru wa Nchi zetu
Mipaka waliikuta, maandishi wameyaweka waoBasi tuondoe na mipaka ya nchi ili kila mtu atanue kuelekea kwa mnyonge wake.
Ile Mikataba iliyofanywa kabla ya Nchi zetu kupata Uhuru mingi ilifanywa bila ya RIDHAA zetu na haikuwa Fair kwahiyo kuifuta na kuibadilisha ni sahihi.Basi tuondoe na mipaka ya nchi ili kila mtu atanue kuelekea kwa mnyonge wake.
6 days war US alisambaza vifaa vingi sana kijeshi kwenda Israel kwa siri baadae ikajulikana.6day war mmisri alikua na jeshi la anga kubwa na zuri kuliko hata anaepambana nae ila alichofanyiwa hadi leo anaogopa kuingilia gaza
Ata nyie kama sio urusi unafkl mngemchomoa Amini pale Uganda.Nchi 6 kwa huyo mwarabu mbona mchumba tu......Libya alimsaidia Idi Amin na akatulizwa,,,,sema imagination zenu za vita zimeathiriwa sana na muvi za Hollywood
Pumbavu hawa kutuweza kwenye mpira wanazani na huku wataeza ,Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.
Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.
Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.
My Take: Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.
Kenya amekataa kusaini makubaliano Kwa Ajili ni kibaraka wa Wazungu
Pia soma Egypt imepinga vikali makubaliano ya usimamizi wa Mto Nile
Soma zaidi hapa Tume ya Ushirikiano wa Bonde la Mto Nile kuzinduliwa. Egypt inapinga ikidai haki zake za kikoloni zimekiukwa
==============
This agreement outlines the principles, rights, and obligations related to the management and development of the Nile Basin.
The Turkish media reported on Monday, October 14, that the Nile Basin Cooperative Framework Agreement (CFA) officially came into force on Sunday, October 13.
Egypt and Sudan have so far rejected the agreement while the CFA has been signed by upstream countries, including Ethiopia, Rwanda, South Sudan, Uganda, Tanzania, and the Democratic Republic of Congo.
Egyptian Irrigation Minister Hani Sewilam called on Nile Basin countries to reevaluate water agreements during a water event in Cairo on Monday, October 14.
“We call on the Nile Basin countries that signed the Entebbe Agreement to review their position and return once again to discuss cooperation between countries in a way that does not harm any of the riparian countries,” Irrigation Minister Hani Sewilam said at a water event in Cairo.
“Egypt’s position is fair and consistent with international river agreements enforced internationally,” he added.
The Egyptian minister stressed that the discussions “must include all countries and don’t exclude the interests of one country over another.”
Sewilam said Egypt’s water supply does not suffice the country’s needs. “Egypt will not concede even a single cubic metre of Nile water and firmly rejects the Entebbe Agreement in its current form,” he stressed.
Egyptian President Abdel Fattah Al-Sisi said early yesterday that preserving Egypt’s water resources is an “existential issue”.
“The Nile River is the primary source of water for Egypt, accounting for over 98%” of its water supply, he added.
The CFA represents the first multilateral effort by the Nile Basin states to create a legal and institutional framework to govern the use and management of the river.
The Nile River has been a source of tension, especially between Egypt and Ethiopia, as the latter began construction of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) on the Blue Nile, a major tributary of the Nile River.
Ethiopia views the dam as essential for its economic development and insists it poses no threat to downstream water supplies.
Egypt views the GERD as an existential threat to its water share from the Nile and demands a binding agreement on the dam’s filling and operation.
Ndo hata sasa kila mtu ana "wana"Ata nyie kama sio urusi unafkl mngemchomoa Amini pale Uganda.
Aingie Telaviv wakati wamesaini mkataba wa amani?Hawezi hana huo uwezo angelikuwa na huo uwezo angeigia Tel Aviv siku nyingi sana.
Zile ndege zilizopigwa nyumbani kwake zilikua zimesambazwa kwenye kichaka gani.......vita sio ngonjera akitaka aanzishe tu6 days war US alisambaza vifaa vingi sana kijeshi kwenda Israel kwa siri baadae ikajulikana.
Kingine Egypt ilifeli kistratejia, Israel alipiga running ways, Kama US walivyofeli mission yao Somalia.
Lakini Egypt ni tishio si mchezo, usifikiri hizi nchi zenu siasa za nani kama mama mtaweza battle, mtapigwa makalio yabaki wazi.
Iliwekwa na nani? Nani alisema Tanzania inatakiwa hiishie Mtukula, tunduma, Kyela, Silali N.k?Mipaka waliikuta, maandishi wameyaweka wao
US haikutuma Askari kwenda kuisaidia Israel bali ilikuwa ikisaidia kwa Intelligence.6 days war US alisambaza vifaa vingi sana kijeshi kwenda Israel kwa siri baadae ikajulikana.
Ilikuwepo Kwa Kufuata empires wao waliihamishia kwenye makaratasi tuuIliwekwa na nani? Nani alisema Tanzania inatakiwa hiishie Mtukula, tunduma, Kyela, Silali N.k?
Baada ya kupigo ndio wakasaini😁Aingie Telaviv wakati wamesaini mkataba wa amani?