MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!


Khaa! Huyu mdingi Baba V anataka kuwa kama Mu7 nini? Eti niliwekwa kwa mtutu wa bunduki 1986 nitaondoka kwa mtutu wa bunduki kwenye urais wa Uganda.

Baba V ushaeksipaya!
 
Last edited by a moderator:

Hebu ngoja nimuulize mwenyekiti ndugu Erickb52 anikumbushe ile tarehe ya sherehe ya kukuaga baada ya kustaafishwa kwa manufaa ya umma.
 
Last edited by a moderator:
Tuache kupiga domo vipi mashindano yanaanza lini?. Arushaone
.

Mpaka tarehe 28 mwezi huu tunakusanya majina ya wadadaz wote walioshiriki kwa namna moja au ingine kwenye thread hii, tunawapanga mafungu ya A-B-C-D etc afu wanaanza kupiga kampeni baada ya hapo watabaki wawili kila kundi jumla 8 ndio watakaokuwa wameingia robo fainali, then watabaki wanne (nusu fainali) na afu baadae watabaki wawili ambao nao watapigiwa kura na mwisho wa mwezi November tutahesabu kura zao na kumtangaza MISS CHIT-CHAT.

Swali la nyongeza unakaribishwa mkuu.
 
piga kazi mkuu tuko pamoja
 

Hahahahah ahsante kwa maelezo Arushaone..swali la nyongeza mpaka sasa hakuna
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…