janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Karibu shindanoni wewe!! naamini unaweza utashinda.
Mi mchungaji atanitenga kanisani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu shindanoni wewe!! naamini unaweza utashinda.
Tutawashinanisha live au avatar zao?!
mkuu kuna kila dalili za Ushiriki kwa baadhi ya Wanaume kwenye hili shindano
Mhhhhh,ngoja tuone.
Oh,how sweet of you?Ntakua campaign manager wako.
Hahahahaaaaa mumy uko vizurii
Hehe. Upo?Yani wewe
Hehe. Upo?
Thanks sis angu, tatizo me nina allergy na kukatwa. Maana hukawii kusikia HS kura zake hazikutosha, ntaliaje + kumnunia kila mtu humu ndani. Afu naanza kushangaa kura za kunipa pole ni nyingi kuliko za walionipigia kura hahahaKwa vigezo hivi Heaven Sent is my best
Wewe muache tu, ananichokoza live bila chengaHahahaa nani huyo... I hope sio my Heaven Sent
Teh gelofriend me ni samaki wa mapambo sijuiHa ha ha kumbe my gelofriend Heaven Sent ni nyuki wa canteen? ���� ����
" chaste man" eeh?
karibu mdada nakuona utakavyo shika chat za juu kabisa kwenye huu ushindaniThanks sis angu, tatizo me nina allergy na kukatwa. Maana hukawii kusikia HS kura zake hazikutosha, ntaliaje + kumnunia kila mtu humu ndani
Wewe muache tu, ananichokoza live bila chenga
Teh gelofriend me ni samaki wa mapambo sijui
You are real a "chaste"
" chaste man" eeh?
nina amini utaingia kwenye kinyang'anyiro bila uwoga wowote