Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

"he is not a virgin "


Hahahaa nani huyo... I hope sio my Heaven Sent

Kobe+Bryant+smiles+at+a+press+conference+after+the+Lakers+season+ended+2011.JPG
 
mkuu kuna kila dalili za Ushiriki kwa baadhi ya Wanaume kwenye hili shindano

Ishu itakuwa kwenye kupokea zawadi....tutawataka wathibitishe pasi shaka yoyote kuwa wao ndo wahusika
 
Hili shindano naona kama kitabu cha almarhum shaaban Robert vile.
 
Kwa vigezo hivi Heaven Sent is my best
Thanks sis angu, tatizo me nina allergy na kukatwa. Maana hukawii kusikia HS kura zake hazikutosha, ntaliaje + kumnunia kila mtu humu ndani. Afu naanza kushangaa kura za kunipa pole ni nyingi kuliko za walionipigia kura hahaha
Hahahaa nani huyo... I hope sio my Heaven Sent
Wewe muache tu, ananichokoza live bila chenga

Ha ha ha kumbe my gelofriend Heaven Sent ni nyuki wa canteen? ���� ����
Teh gelofriend me ni samaki wa mapambo sijui
" chaste man" eeh?
 
Last edited by a moderator:
Tuondoe utata, shindano hili litakuwa la tofauti kidogo..
Wadhamini itabidi wasubmit udhamini wao kwa moderator ili washindi wawe na uhakika wakupata zawadi zao....
 
Thanks sis angu, tatizo me nina allergy na kukatwa. Maana hukawii kusikia HS kura zake hazikutosha, ntaliaje + kumnunia kila mtu humu ndani

Wewe muache tu, ananichokoza live bila chenga


Teh gelofriend me ni samaki wa mapambo sijui

You are real a "chaste"
karibu mdada nakuona utakavyo shika chat za juu kabisa kwenye huu ushindani
 
Back
Top Bottom