Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss chagga nakushauri usishiriki shindano hili dada yangu naona figisufigisu zimeanza kabla hata hujachukua fomu.
 
katika ya wanahudhuria ni wanateuliwa au?
 
Mie siwezi kushiriki sina vigezo vya kuwa miss tunalea sasa mtoto wa watu huo umiss sitautendea haki
Cc Rogie
 
Last edited by a moderator:
Mie siwezi kushiriki sina vigezo vya kuwa miss tunalea sasa mtoto wa watu huo umiss sitautendea haki
Cc Rogie

hapana!! we shiriki, regardless una umri mkubwa au bonge...
kigezo cha kwanza ni uwe mwanamke!!
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu mimi sio miss bana mie ni bibi, labda mkifanya shindano la kutafuta bibi bomba ntashiriki.
Hata huo ushiriki wa miss JF uliofanyika kwanza sikuusikia wala kumfahamu, nashangaa hapa natajwa niliyeshiriki......
Jambo zuri big up.
 
Huu umiss wa hapa niwatofauti kidogo, ni kimtandao zaidi.
Kama wewe ni Ke, unawezashiriki.
 
Last edited by a moderator:

My wife janeth1 hajawahi kushiriki labda unamaanisha Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
Vigezo vya kuwa miss ni vipi? Hadi sisi wabibi tunashiriki? Mie takuwa muhasibu😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…