janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
My douta kauli tata hii
Ooh pole mama....nilimanisha umenena sawa nilifurahishwa na ulichoandika....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My douta kauli tata hii
baba wa taifa anazengua sa zingine.. pesa muhimuBaba wa taifa aliwahi kusema
"Mshindi hawezi kutokea kaskazini" hahahaha
baba wa taifa anazengua sa zingine.. pesa muhimu
Mbona Mie namiliki bicycle yangu ya phonex na kasim kangu ka Lumia kananitosha kwa matumizi
kiwatengu mimi sio miss bana mie ni bibi, labda mkifanya shindano la kutafuta bibi bomba ntashiriki.
Hata huo ushiriki wa miss JF uliofanyika kwanza sikuusikia wala kumfahamu, nashangaa hapa natajwa niliyeshiriki......
Jambo zuri big up.
Kwa heshima kubwa!
Ninaomba shindano la kumsaka miss Jamiiforums lirejee katika mtiririko wake!Sheria ziwekwe wazi, mambo yawe wazi! Wadhamini wawe wazi na mwisho wa siku washindi wapewe zawadi zao stahiki.
Vigezo na Masharti vikizingatiwa naamini hakuna kitakachoharibika na kama ni utaratibu wa wadhamini, wasubmit sehemu ya udhamini wao kwa Moderator kabla ya shindano kuanza utaratibu wa Poll uweke kwa wale watakaopata mapendekezo mengi zaidi.
Hili shindano lina ladha yake! Let bring it back.
CC: Arushaone,
Waliowahi kushiriki wasishiriki tena!
CC; Khantwe, Honey Faith, atoto, 'Valentina' miss chagga, cute b, Kasinde, janeth1....
Nawategemea kwenye huu mchakato.
Na wadada wengine wote!
My wife janeth1 hajawahi kushiriki labda unamaanisha Lady doctor
vigezo ni kuwa binti tu
.... karibu sana!!