Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

Miss JamiiForums: Shindano lirudi! Ustaarabu utawale

mademu wengi wa jf ni hiphop,,mamiss wako huko insta na fb
 
Hahaha me mbona sijajihesabia hata na hii nyota yangu ya kukatwa wee. Ila nimegoma tu kuwa usiwe mhasibu period

usiniangushe banah... kura zangu kumi tiari unazo bado zile za kuchakachua pale nkiwa judge
 
jamani eeeeeeeee mimi nitajitolea kuwa jaji.
si ndiyo eeeeeeeeeeeeeer ?
ndiyoooooooooo.
 
Back
Top Bottom