Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Faizafoxy mtoe hapo ni kibibi.Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Tena ana wajukuu yaani humu JF watu wanakuwa na mawazo ya hovyo sanaFaizafoxy mtoe hapo ni kibibi.
Acha nyege unajengaje taswira kwa kitu usicho kijua na ukakipa point? Ila nisiseme sana ngoja waje wanaowajua
Sawa mkuu ila swala la akili zimewekezwa wapi tusipowaelekeza wanapoteaMzee naomba uwaache vijana.
Bibi nae alikuwa binti. Tunatumia taswira yake ya kipindi ni msichana.Faizafoxy mtoe hapo ni kibibi.
We umewaonea wapi? We utakuja uzungukwe nyuma, una uhakika wote hapo ni She? Mimi nina user yangu hapo ya ki-she lkn jidume na ndevu zimesimama kama mchongamaa!Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
We koma mzee!
Kwa hiyo Mshana Jr kafanywa na kibibi FaizaFoxy?
Picha au AvatarBila kuambatanisha picha za washiriki huu ni upupu mkuu.
Una uhakika gani ni wanawake?Kwema Wakuu!