Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

Miss Jf2024: Nani Mrembo kuliko wôte humu JF

  • 1. Midekoo

    Votes: 11 7.9%
  • 2. Palina

    Votes: 9 6.4%
  • 3. Binti kiziwi

    Votes: 15 10.7%
  • 4. Kapeace

    Votes: 14 10.0%
  • 5. Mamndeny

    Votes: 8 5.7%
  • 6. Evelyn salt

    Votes: 30 21.4%
  • 7. Lovie Sundy

    Votes: 7 5.0%
  • 8. To yeye

    Votes: 27 19.3%
  • 9. Kalpana

    Votes: 6 4.3%
  • 10. Numbisa

    Votes: 13 9.3%

  • Total voters
    140
  • Poll closed .
Eli Cohen punguza makasiriko na uchungu mwingi, sometimes acha watu wapunguze mikazo ya mambo ya maisha, sioni sababu ya kuanza kuponda hii Poll kama haupendezwi ignore tu na maisha yaendelee.

Robert Heriel Mtibeli update hiyo orodha lasivyo utakuwa umewadhulumu ambao wanataka hili pambano nao wapambanie 👑.
Watu wanachukulia mambo ya humu serious aaaaahhh kmamamaeeee.....
 
Eli Cohen punguza makasiriko na uchungu mwingi, sometimes acha watu wapunguze mikazo ya mambo ya maisha, sioni sababu ya kuanza kuponda hii Poll kama haupendezwi ignore tu na maisha yaendelee.

Robert Heriel Mtibeli update hiyo orodha lasivyo utakuwa umewadhulumu ambao wanataka hili pambano nao wapambanie 👑.

😂😂

Hapo mwisho 10 hakuna option ya kuongeza labda nipunguze Jambo ambalo sioni kama linaulazima
 
Ever salt mwenyewe sasa😅 , mama kura yanguu 🙆‍♂️
FB_IMG_1701020324793.jpg
 
Kuna mmoja hivi Mshamba fulani, mpenda Sifa na Umaarufu, Godoro la Wengi, anajifanya Mtu wa Info za Ndani, Keshabanduliwa na Njemba kadhaa hapa huku akijifanya Yeye ni JamiiForums na JamiiForums ni Yeye nashangaa katika List yako hayuko.

Hata hivyo kwa Sura yake mbaya, Kukondeana Kwake kama Fidodido, Ushamba alionao kuanzia Kwao / Alikokuwa amepanga Gongo la Mboto sijashangaa kutokuwepo na najua huko aliko Kanuna kweli kweli Kudadadeki zake.

Imeisha hiyo.
Khaah 🤣🤣🙌🏾
 
Nipo shogaangu nimerudi, kura yangu unayo na kombe lazima uchukue sisi wachambuzi tulishalisema hili mapemaaaa 😘😘😘

Nkamu Saint Anne njoo huku tumpigie kura mahi wetu kapeace 😹😹😹

Babu Grahams njoo upige kura bibi yuko nominated 😜
Kumbe Mjukuu ni kisu hivyo hadi anashindanishwa Umiss🙌

Ngoja nikwangue pension yote kwaajili yake 🤗
 
Back
Top Bottom