Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Lastborn wetu finally nywila zimeachiwa🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamba tu😹😹😹 mmeanza nongwa zenu
Kwani wewe haumo, maana hata mi mwenyewe sijajipigia kura,, huyu mtibeli nae ana haraka sana,😹😹😹 msela hiyo kwiyoo
Yani naingia nakutana na shindano na mahi wangu upo weweeeee.!!! 🤸♀️🤸♀️
Jamani kura zote kwa kapeace hiki chuma kikali… kisu cha kwendea.
Achaneni na wapigania uhuru 🤣😹😹
Ila mliokuwa nominated karibu wote nawaelewa sa itakuwaje jamani?!! 🥹
To yeye
Binti kiziwi
Mideko
Evelyn salt (Bro wangu 😹)
Kalpana
Wote washindi na warembo 😍
😹😹😹 ila wewe bana khaaa.!!Ushamba tu
Either humu kuna utoto mwingi or ubovu wa akili
Mimi bado mtoto umri hauruhusu kugombea umiss 🤣😹😹😹Kwani wewe haumo, maana hata mi mwenyewe sijajipigia kura,, huyu mtibeli nae ana haraka sana,
hata hivyo mi msela yake nature na ngwair
Sasa mtibeli ndio nani anawajua wote??😹😹😹 ila wewe bana khaaa.!!
Kwahiyo unawalaumu JF kumpa tuzo mtibeli?
Huyu Mtibeli kaja na wagombea wake wa mfukoni....Napendekeza tupige kampeni na vitaiti tu, kuna hujuma hapa za waziwazi.....
Kwamba upo under 18,,Mimi bado mtoto umri hauruhusu kugombea umiss 🤣😹😹😹
Wewe bana ndio miss wetu hiyo haipingwi 😂
Humu JF hakuna yoyote anayejua labda ni ile chit chat, watu wanapunguza stress bana.!! 😹😹😹Sasa mtibeli ndio nani anawajua wote??
Ahhaha au mtibeli anakujua lamomy
Anyway lamomy, sio kwa roho mbaya, kupiga kura kwa fikra ni ushamba
Like how the hell do i know how you look like??
I may put u number 10 but truly u are no 1
😹😹😹 sasa je! 😜Kwamba upo under 18,,